Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Bumea ask for goverment publication. Hiyo ni random post. Na ninapo sema goverment, gov of tanzania na taasis zake zinazohusikaPIP: A priest, president of Human Life International (HLI) based in Maryland, has asked Congress to investigate reports of women in some developing countries unknowingly receiving a tetanus vaccine laced with the anti-fertility drug human chorionic gonadotropin (hCG). If it is true, he wants Congress to publicly condemn the mass vaccinations and to cut off funding to UN agencies and other involved organizations.
Open Access Library Journal > Vol.4 No.10, October 2017Bumea ask for goverment publication. Hiyo ni random post. Na ninapo sema goverment, gov of tanzania na taasis zake zinazohusika
Labda tunazihakiki kutoka mwazye na Kaengesa Sumbawanga 😂🙏Kwakweli ni uwendawazimu kabisa ule.
Wakitutaka ni sekunde tu...hata hizi soda nyingi formula na ingredients zake si zinatoka Merekani jamani?
Sisi tunazihakiki kwa vipimo kutoka Namanyere Sumbawanga?
Ogopa sana cha DEZO ndugu.Kwakweli ni uwendawazimu kabisa ule.
Wakitutaka ni sekunde tu...hata hizi soda nyingi formula na ingredients zake si zinatoka Merekani jamani?
Sisi tunazihakiki kwa vipimo kutoka Namanyere Sumbawanga?
Wakitaka kufanya hivyo ni dk 1 na wewe unakuwa kwenye list.mjomba ni bora kufa na ukwimi lkn una sifa ya dume la mbegu kwanza hakuna wakubaki milele kuliko kuletewa michele itakayopelekea vijana kuwa mchelemchele
Waje wanunue mchele hapa umeambiwa hao ni ndugu zako ? Kwamba na watupe virutubisho tufanye utafiti alafu tuwaambi waje wamix ? Kwanini tusifanyie utafiti huo mzigo uliokuja na kama una madhara tuwashitaki WHO na organizations zote kubwa Duniani ?Bashe kasema waje wanunue Mchele wa hapa Tanzania halafu watupe hivyo virutubisho tuvifanyie utafiti ndio tuwaruhusu Wamixi.
Yaani unamsifia kabisa kwamba yupo active ?!!!! Hivi wangefanya kazi zao hata kungekuwa kuna uhitaji wa msaada wowote in the first place ?!!!Huyu Waziri yuko Active na anaona mbali.
Mkuu na hapa umechemsha tena. Kujustfy msaada wa chakula cha USDA kwa kuwa tunapokea msaada wa ARVs.Kuna watu wanatembea kwa afya na wameishi maisha marefu sababu ya Wamarekani. Wapo ambao kila mwezi au wiki kadhaa wanaenda kuchukua dawa za ARVs ili kujiongezea Kinga mwilini na kupiga vita magonjwa ambukizi mbalimbali.
Madawa na tiba hizi zimetoka kwa msaada wa watu wa Marekani (na mimi mmojawapo). Ingekuwa wanataka kutupunguza kwa haraka hakuna pazuri kama pale tupapendapo!! Jinsi masikini wetu wanavyopenda kula na kulana, kulala na kulaliana, kutafuna na kutafuniana; maelfu kama siyo mamilioni ya maskini Hawa wangekuwa wamepumzika ahera madukani siku nyingi.
Tuache ufyatu!! Waacheni wazazi au jamii wanaotaka watoto wao wale chakula cha msaada. Tulikula sisi miaka ya themanini na tunashukuru. Wazazi au jamii wasiotaka kula wasilazimishwe. Wazazi wawakataze watoto kula chakula Nicholas. Lakini kuwanyima watoto na wazazi wengine wasio na tatizo na vyakula hivi ni ufyatu . Tukifika mahali kweli tu tunajitegemea kwa chakula tunaweza kukataa kwa sababu ya kutokujiabisha. Sasa hivi msemo wa wahenga "mwenye njaa hana haramu" una ukweli wake.
Nashauri serikali iache hamaki, itulie na kufikiria tena a more balanced approach. Tusiwe note hamnazo.
Ni kitu gani wakiamua kukichukua hapa Tanzania watashindwa?Ogopa sana cha DEZO ndugu.
Kama umejua Ukimwi umetokana na nyani. Kwanini wewe usitengeneze dawa ya kuponya UKIMWI?Mkuu na hapa umechemsha tena. Kujustfy msaada wa chakula cha USDA kwa kuwa tunapokea msaada wa ARVs.
Kwanza kumbuka HIV/ AIDS ni ugonjwa uliotengenezwa maabara kupitia nyani na kisha kuwaambukiza bunadamu.
Pili HIV/ AIDS ni biashara ya Big Pharma ambayo kamwe hawatakubali iishe. Kama wametengeneza dawa zinazofubaza (kufifisha) virusi vya UKIMWI, unadhani wanashindwa kutengeneza dawa za kuua virusi hivyo?
UKIMWI na Saratani lazima viendelee kuwapo ili makampuni yao yaendelee ku SURIVIVE.
Nimalize tu kwa kukushauri kuwa nenda TBS kachukue mfuko wako wa huo mche na virutubisho ukawalishe wanao. Watakapoanza tabia za kishoga, usianze kutulalamikia
Mkuu wakitutarget sisi Watu wazima tuliokomaa sio mbaya lakini kutarget Watoto ambao Cell zao bado zina Multiply ni hatari.Hawa sasa ndio wanaotengeneza tatizo halafu wana solve
Sisi wa kwetu tunawasingizia
Ukijifanya kutengeneza hiyo Dawa unauwawa unakuwa Targeted na Watu wanaoFund hiyo research yako nao wanakuwa Targeted.Kama umejua Ukimwi umetokana na nyani. Kwanini wewe usitengeneze dawa ya kuponya UKIMWI?
Mpaka sasa tunahangaika na umeme wa mgao, baadhi ya vijiji maji ni shida
Yaani mpaka tujikomboe boss la sivyo sisi ni tegemezi tu kwaoMkuu wakitutarget sisi Watu wazima tuliokomaa sio mbaya lakini kutarget Watoto ambao Cell zao bado zina Multiply ni hatari.
Kila Taifa lenye Watu wenye AKILI huwa linalinda Watoto wao sana maana Mtoto akipigwa Stop HAZAI tena anakuwa na hamu ya kulawitiwa na Shahawa zake zinakuwa ni Maji bila RUTUBA anakuwa HAWEZI tena kuzalisha.
Kwani kuna kitu kinafanywa na serikali coyote duniani kisichokuwa business as usualHizo ARV si ni businesses as usual au?
Hii sayansi ya wapi...kwa hiyo watu wazima cell hazimultiply...Zina divide kwa magazijutoMkuu wakitutarget sisi Watu wazima tuliokomaa sio mbaya lakini kutarget Watoto ambao Cell zao bado zina Multiply ni hatari.
Kila Taifa lenye Watu wenye AKILI huwa linalinda Watoto wao sana maana Mtoto akipigwa Stop HAZAI tena anakuwa na hamu ya kulawitiwa na Shahawa zake zinakuwa ni Maji bila RUTUBA anakuwa HAWEZI tena kuzalisha.
Wewe unaleta hoja muhimu..hii ni ya kujitegemeaYaani mpaka tujikomboe boss la sivyo sisi ni tegemezi tu kwao
Miaka ya 80 nilikuwa Iraq mainjinia wote ni wenyewe barabara zote wao wanatengeneza hawakutaka kabisa msaada na ni wataalam wasomi haswa
Dawa walizokuwa wanatengeneza utashangaa
Nilikuwa nawakubali sana hao jamaa
Leo sisi karne hii tunapokea mchele kweli
So sad bro
Aisee hii ni hatari sana.Ukijifanya kutengeneza hiyo Dawa unauwawa unakuwa Targeted na Watu wanaoFund hiyo research yako nao wanakuwa Targeted.
Lakini unakumbuka UKIMWI ulivyoingizwa Libya na kwenda kuambukiza Wananchi wa Libya kwa makusudi?Yaani mpaka tujikomboe boss la sivyo sisi ni tegemezi tu kwao
Miaka ya 80 nilikuwa Iraq mainjinia wote ni wenyewe barabara zote wao wanatengeneza hawakutaka kabisa msaada na ni wataalam wasomi haswa
Dawa walizokuwa wanatengeneza utashangaa
Nilikuwa nawakubali sana hao jamaa
Leo sisi karne hii tunapokea mchele kweli
So sad bro