Heavy Metal
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,179
- 2,948
Na hapo ndo tatizo lilipo, ni ugonjwa mkubwa ambao umetuathiri sana, kwamba unapozungumzia kazi basi lazima mtu aajiriwe akae kwenye ofisi ya serikali. Ofisi ziko ngapi?! Wasomi mlivyo wengi ivyo mtaenea?! Mkuu maisha yetu ya kila siku duniani kote yanategemea uzalishaji wa viwandani na kilimo. Imarisha viwanda na kilimo, zalisha bidhaa bora utauza duniani kote. Aridhi nzuri na kubwa tu kwa ajili ya kilimo tunayo, maji tunayo...rasilimali viwanda tunazo kila mahala...kwanini hatuwekezi huko ili tutoe ajira kwa wahitimu wetu?! Fungua viwanda vingi, imarisha sekta ya kilimo, tutapunguza hili tatizo badala ya kusubiriana tustaafu ili ofisi wakalie wengine. Mtu anaajiriwa leo ili astaafu atafanya kazi miaka 30+, inamana wewe utamsubiri huyu astaafu ili uchukue nafasi yake so utakua ushazeeka na wewe?! Ukiuelewa huo mstari wangu wa mwisho sidhani kama utatilia tena maanani mambo ya ajira. The government employment circle is very complicated kwa sasa.Badala ya viwanda serikali imewekeza kwenye chawa
sindio wao lakini husema vijana tujiajir wao watashindwa vipi ku -run maisha yao na wamepata mishahara zaid ya miaka 20Yaani unataka watumishi wawe ombaomba huku mitaani sasa..
Waacheni wamalize hiyo mika yao 60 huko..
Hiyo ndio shida !Badala ya viwanda serikali imewekeza kwenye chawa
hoja kabsaNi Kazi ya Serikali na watunga sera kuwasaidia Wananchi wake tangu wakiwa mashuleni kuwashauri wachukue masomo na taaluma zipi ili waweze pia kujiajiri pindi wamalizapo masomo yao !
Viongozi wanapokwenda huko Duniani kwa Wazungu wawe pia wanajifunza wenzao huwa wanawatayarishaje Wananchi wao katika kukabiliana na maisha. !
Kwa theory uko sahihi.kwa practical huko sahihimfumo utabadilishwa tu hakuna shida mtu keshajapata mtaj afanye mambo mengine kam ni biashara kama ni kilimo chochote kwani bado umri huo atakua na nguvu atake nini tena hapo ndyo wakati wa kujua wazembe vichwani ni wapi sio kusema saiv vijana wajiajir bila ya mitaji wala backup yoyote mfano kama ni mfamasia atafungua famas mwalimu hata shamba huko akalime
Siku zote nawaza sana uwekezaji kwenye viwanda vya kemikali, hii kitu huko ndani inazaa viwanda vingi mno ikiwamo vya dawa na bidhaa nyingine zinatotengenezwa kwa kemikali mbalimbali. Sijawahi kuelewa kwanini hua serikali haiwazi vitu kama hivi. Kuna muda hata hawa wawekezaji tuanze kuwaambia tunataka uwekeze kwenye eneo hili na lile kwa kuangalia mahitaji ya nchi yetu kwa sasa sio tu tunakaribisha wawekezaji ilimradi tu. Waje wawekeze kwenye vitu ambavyo vitasaidia kwa kiwango kikubwa kupunguza tatizo la ajira hasa issue ya viwanda na kilimowell said una hoja kukiwa na viwanda vingi ma engineer watapata ajir wafamasia ma HR yani kada nyingi zitaguswa hapa wa kemia wa fizia
kweli chief maisha ni kugawana fursa sio kwamba vijana labda tunapenda kuajiliwa maofisini hapana ila tunahitaji fursa hizo fursa hazipo kwamba mi mhitimu wa shahada ya udaktar naweza jiajiri nikafungua kituo cha afya bila ya capital ? au naenda jiajir wapi kulingana na ujuzi nilionao au arudi tena kumsaidia fundi zege sasa hapo kuna umhimu gan wa kusomea iyo kada ya afyaNa hapo ndo tatizo lilipo, ni ugonjwa mkubwa ambao umetuathiri sana, kwamba unapozungumzia kazi basi lazima mtu aajiriwe akae kwenye ofisi ya serikali. Ofisi ziko ngapi?! Wasomi mlivyo wengi ivyo mtaenea?! Mkuu maisha yetu ya kila siku duniani kote yanategemea uzalishaji wa viwandani na kilimo. Imarisha viwanda na kilimo, zalisha bidhaa bora utauza duniani kote. Aridhi nzuri na kubwa tu kwa ajili ya kilimo tunayo, maji tunayo...rasilimali viwanda tunazo kila mahala...kwanini hatuwekezi huko ili tutoe ajira kwa wahitimu wetu?! Fungua viwanda vingi, imarisha sekta ya kilimo, tutapunguza hili tatizo badala ya kusubiriana tustaafu ili ofisi wakalie wengine. Mtu anaajiriwa leo ili astaafu atafanya kazi miaka 30+, inamana wewe utamsubiri huyu astaafu ili uchukue nafasi yake so utakua ushazeeka na wewe?! Ukiuelewa huo mstari wangu wa mwisho sidhani kama utatilia tena maanani mambo ya ajira. The government employment circle is very complicated kwa sasa.
Waafrika wanaishi maisha ya kuanzia katikati sio mwanzo , kila mwafrika anataka kuishi sehmu iliyoendelea ila hataki kuanzia kokote kwenye unafuu . Ajira ndiyo kimbilio ni watanzania binafsi hawana mpango wa kuanzisha sekta binafsi ;vichwa vyao vinafikiria kuishi Dar , kwenda ulaya , kupata connection .Tatizo kuu la ajira Tanzania ni serikali kugombana na kuua sekita binafsi badala ya kui sapoti muasisi wa hizo fikra za kuona sekita binafsi kama adui nia late JPM, na kweli nyingi zilikufa kabisa pesa za watu ziliporwa nk ukiangalia tatizo la ajira Ug na Kenya sio kubwa kama Tanzania kwanini? Sekita binafsi zina nguvu sanaa.
Saa100 ana 67 bado anaomba kura😳Hii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbalimbali .
sera ya privatization nayo inatukandamiza sana kuna haja ya kuikataa kama nchiSiku zote nawaza sana uwekezaji kwenye viwanda vya kemikali, hii kitu huko ndani inazaa viwanda vingi mno ikiwamo vya dawa na bidhaa nyingine zinatotengenezwa kwa kemikali mbalimbali. Sijawahi kuelewa kwanini hua serikali haiwazi vitu kama hivi. Kuna muda hata hawa wawekezaji tuanze kuwaambia tunataka uwekeze kwenye eneo hili na lile kwa kuangalia mahitaji ya nchi yetu kwa sasa sio tu tunakaribisha wawekezaji ilimradi tu. Waje wawekeze kwenye vitu ambavyo vitasaidia kwa kiwango kikubwa kupunguza tatizo la ajira hasa issue ya viwanda na kilimo
Haya majangili yanakula fedha za ummaHii ni TZ Yakhee🤣🤣🤣🤣
Ukiongozwa na wajinga tegemea tunayo yaona, badala ya kumsaidia Rais ni kutwa kumsifiaNa hapo ndo tatizo lilipo, ni ugonjwa mkubwa ambao umetuathiri sana, kwamba unapozungumzia kazi basi lazima mtu aajiriwe akae kwenye ofisi ya serikali. Ofisi ziko ngapi?! Wasomi mlivyo wengi ivyo mtaenea?! Mkuu maisha yetu ya kila siku duniani kote yanategemea uzalishaji wa viwandani na kilimo. Imarisha viwanda na kilimo, zalisha bidhaa bora utauza duniani kote. Aridhi nzuri na kubwa tu kwa ajili ya kilimo tunayo, maji tunayo...rasilimali viwanda tunazo kila mahala...kwanini hatuwekezi huko ili tutoe ajira kwa wahitimu wetu?! Fungua viwanda vingi, imarisha sekta ya kilimo, tutapunguza hili tatizo badala ya kusubiriana tustaafu ili ofisi wakalie wengine. Mtu anaajiriwa leo ili astaafu atafanya kazi miaka 30+, inamana wewe utamsubiri huyu astaafu ili uchukue nafasi yake so utakua ushazeeka na wewe?! Ukiuelewa huo mstari wangu wa mwisho sidhani kama utatilia tena maanani mambo ya ajira. The government employment circle is very complicated kwa sasa.
Hovyo kabisaHiyo ndio shida !
sekta binafsi at 20's ndyo umehitimu chuo utatoboa kweli familia nyumban hata akijitoa kukuchangia backup 1M haifikiWaafrika wanaishi maisha ya kuanzia katikati sio mwanzo , kila mwafrika anataka kuishi sehmu iliyoendelea ila hataki kuanzia kokote kwenye unafuu . Ajira ndiyo kimbilio ni watanzania binafsi hawana mpango wa kuanzisha sekta binafsi ;vichwa vyao vinafikiria kuishi Dar , kwenda ulaya , kupata connection .
Hapo ni bora ukajijua uko nyuma ili upambane kuliko uko nyuma ila unataka kufanya shortcut kufika mbele .
ukwwli mtupu serikali haijal kabsa maisha ya watanzania hata hiyo miradi sjui ya SGR ni wao kujitengezea uchumi wao viongozi ila sio mwananchi wakawaidaUkiongozwa na wajinga tegemea tunayo yaona, badala ya kumsaidia Rais ni kutwa kumsifia
Wao wanataka uwe ombaomba wenyewe na watoto wao waendelee kupita pesa za wanyongeukwwli mtupu serikali haijal kabsa maisha ya watanzania hata hiyo miradi sjui ya SGR ni wao kujitengezea uchumi wao viongozi ila sio mwananchi wakawaida
kuna madogo wamehitimu kidato cha nne na hawakufanikiwa kupata ufaulu wa kwenda vyuo vya kati na advanc hawa ndyo inabidi wapige VETA sasaWazo ni zuri mkuu, ila hiyo sio mwarobain wa ajira tz, ila mkumbuke na VETA kila mkoa saiv