connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,842
- 3,922
vijana nendeni VETA kwanzaHii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbalimbali .
Hata mimi naona miaka 60 ni michache sana, Japan imerudisha watu wenye miaka 70 kazini ili kurefusa umri wa kuishi.Nadhani wanahitajika wastahafu kwa muda wa miaka 65 hadi 70.
Vijana chaguo lao bora ni kwenda nje ya nchi huko wakapambane
Hayo sasa ndio maajabu !hoja kabsa
na usipompeleka mwanao shule ni kosa kisheria na akimalza masomo unamtelekeza kulingana na ulicho muamulu akakifanye .
Kumstaafisha kijana wa 45 yrs na watoto Bado wako shule haifai.Hii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbalimbali .
Maneno ya watu wenye ajira haya.Serikali Haina pesa za kulipa wastaafu.
Fikiria hata Hawa wanao staafu sasa wakiwa na miaka 60,wanalipwa pension baada ya miaka miwili.
Je wakisema walio fikia 45-60 wastaafu wataweza kuwalipa kwa mkupuo?
Pia kustaafu mapema sio suluhisho la ajira.
Wajipunguzie maokoto ?? 😂Hiyo yote haina haja, muhimu wacheze na formula hii:-Mfano; mshahara wa mkurugenzi uwe laki 5, mfugo kama kuku auzwe elfu thelathini; unafikiri nani atatamani kuajiriwa?
Punguza mishahara na mafao makazini Boresha mazingira sahihi ya watu kujiajiri (kilimo, biashara, viwanda, masoko, ufugaji)
Hii itapelekea wafanya biashara kuwa na maisha mazuri kuliko waajiriwa, na kuwafanya watu wasipende kuajiriwa; na hii itaongeza uzalishaji wa bidhaa pamoja na ongezeko la kupata fedha za kigeni.
Kweli !Maneno ya watu wenye ajira haya.
Tatizo La ajira Halipunguzwi kwa kupunguza Umri wa Kustaafu walio Makazini..Hii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbalimbali .
😀Hii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbalimbali .
Back up uliyopata ndio hiyo elimu,back up gani unataka Mkuu??wewe ndiyo mjinga kudhani vijana wote wanatokea familia zinazo weza wapatia backup baada ya kuhitimu masomo
Hawana pesa na ndio sababu wakaweka kikokotoo, wafanyakazi hawajitambui Acha wanyooshwe tuHii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbalimbali .
Hatari snsindio netanyahu
Eeeh! Watu wengine sijui mlisoma hesabu za wapi? Kwa hiyo ukitaka kutatua tatizo la ajira unapunguza umri wa kustaafu. Huoni kwamba hiyo inakuwa na once off impact kwenye kutatua tatizo la ajira? Kwamba baada ya muda mambo yatajisazazisha kwa sababu hujaongeza nafasi za ajira wala kupnguza idadi ya wahitimu kutoka vyuo wanaoingia soko la kutafuta ajira?Hii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbalimbali .
wewe ndiyo mjinga kudhani vijana wote wanatokea familia zinazo weza wapatia backup baada ya kuhitimu masomo