Wazo la leo: Tumia JF kumjua mwanamke mwenye akili (mke bora)

Huko MMU na ChitChat ndio pazuri kumjua sasa kama unataka mke hapa jf.

Wewe angalia hasa jinsi anavyochangia mawazo yake, hoja zake kwenye mada za mahusiano, mapenzi, malezi, familia, urafiki n.k.

Anachosema mtu au anachocomment mtu kwenye mitandao ya kijamii kinapima sana jinsi alivyo hata awe mnafiki ukimfuatilia utamjua tu mwisho wa siku

Ila kwenye ujenzi na biashara hauwezi kumjua vizuri tabia ya mwanamke wa jf
 
Sisi wapidhi ndio walafi kuliko wanawake wote hapa jf 😂😂😂
Missy Gf
 
Back
Top Bottom