Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
- Thread starter
- #81
Vipi bibie? Wewe uko kundi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi bibie? Wewe uko kundi gani?
Mchizi wangu Demi anaangukia kundi hiliKundi la pili wako kivyao vyao.Ni wanawake wasotaka makundi wala mashosti.i.Hawaogopi kutoa maoni yao.Hawaogopi wanaume watawaona vipi
Sasa we ulitaka akakae kwenye majukwaa ya kilimo na mtu anaetafuta mke yuko huku kwenye mapenzi....a?
Bibi habari yako?Mapenzi hayatafutwi, huchomoza tu.
Inayotafutwa ni ngono.
Wishing you the same future wife. Uko poa my?Happy New year future husband
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna wadada kila mada wanachangia wanakua online asububi mpaka saa sita usiku. Hua nashindwa kuwaelewa aisee[emoji848][emoji848]
Poa kama kawaWishing you the same my future wife. Uko poa my?
Si ungeni tag tu nipate ujumbe wangu mapema? 😂Kuna wadada kila mada wanachangia wanakua online asububi mpaka saa sita usiku. Hua nashindwa kuwaelewa aisee🤔🤔
Ww tulikua tunakesha zamani sio sasa😀Si ungeni tag tu nipate ujumbe wangu mapema? 😂
Mtoa mada vibaya hivyo 😂😂😂
Sisi wapidhi ndio walafi kuliko wanawake wote hapa jf 😂😂😂Huko MMU na ChitChat ndio pazuri kumjua sasa kama unataka mke hapa jf.
Wewe angalia hasa jinsi anavyochangia mawazo yake, hoja zake kwenye mada za mahusiano, mapenzi, malezi, familia, urafiki n.k.
Anachosema mtu au anachocomment mtu kwenye mitandao ya kijamii kinapima sana jinsi alivyo hata awe mnafiki ukimfuatilia utamjua tu mwisho wa siku
Ila kwenye ujenzi na biashara hauwezi kumjua vizuri tabia ya mwanamke wa jf
Nyie wapishi tayari mmeshapita nyie wife material 😀Sisi wapidhi ndio walafi kuliko wanawake wote hapa jf 😂😂😂
Missy Gf