Wazo Muflisi: Alijaribu Kujitenga lakini Anarudi Bila Tenga...

Samia si tatizo letu.

Samia ni dalili tu ya tatizo letu.

Na kila tunavyo focus kwenye dalili ya tatizo na kuacha kuangalia tatizo lenyewe, tunazidisha tatizo.
Watu wa ushauri wa bure tupo, hilo tatizo tumeliona, tumelinote na tumeshauri kwenye HII kitu!
P
 
Huyu mama amejichanganya kutaka kuiga style za Magu. Naona washauri wamemuambia ili apate madaraka kwa ulaini aanze kuteka, kupoteza na hata kuua. Sasa ameukalia.
 
Jamaa unapenda umwagaji wa damu za watu,wafuasi wa magufuli mlipandikizwa roho chafu kabisa kabisa ,laana ya Mungu iwe juu yenu,,

Mi binafsi namkubari Samia, kinachotokea sasa Samia amechoka na kashfa zenu na dharau za kutaka sijui afanye kama alivyokuwa anafanya jiwe, amehamua sasa kuongoza kwa staili ile
 
Anakuambia serikali ina intelligence kali sasa mbona wasiojulikana mpaka bado awajulikani .au intelligence anayozungumzia kuichunguza chadema tu
Yeah!....ya kushughulikia wapinzani pekee
 
Mtu mweusi huwa hapewi uhuru hata siku moja
 
Tena yule alikuwa mwamba kweli sembuse huyu.
 
Tena anatakiwa azidishe maradufu
 
magufuli allikuwa ana waita wazungu mabeberu.
Leo samia anawafokea mabeberu
 
Demokrasia ya mtu mweusi ni kumswaga nakubaliana na hilo ila je, dhamira ni safi? Unamswaga mtu ukilenga ku achieve nini?
 
Samia si tatizo letu.

Samia ni dalili tu ya tatizo letu.

Na kila tunavyo focus kwenye dalili ya tatizo na kuacha kuangalia tatizo lenyewe, tunazidisha tatizo.
Tatizo lenyewe ni lipi sasa. Taifa lenyewe linategemea 1 man show kusinamia kila kitu badala ya katiba.
 
Kaka mkubwa usipotee sana michango yako bado inahitajika hapa jukwaani,mmemuacha brother Mayala peke yake
 
Ni wale wale....harafu unalinganisha hizo hit hole countries na china?
 
Slogan ya samia must go ndio iliyomfanya mama aje kivingine,mwanamke akiwa kwenye nyadhfa flan halafu akaja kuona kuna kitu kinafanyika kama dharau kwake sbb ni mwanamke reaction uwa ni balaa,huu ukali angeupeleka kwa wasaidizi wake pia maana huku chini hali ni mbaya balaa
 
Tatizo lenyewe ni lipi sasa. Taifa lenyewe linategemea 1 man show kusinamia kila kitu badala ya katiba.
Tunapenda shortcuts.

Matatizo ya jamii tunataka kuweka lawama kwa mtu mmoja tu, rais.

Ndiyo, naelewa kanunibya "Noblesse Oblige", aliyepewa talanta nyingi atadaiwa zaidi. Naelewa hili.

Lakini, kama nchi imeoza, huyo kiongozi mahiri tutampata wapi?

Ngazi ya kupandia kufika kwenye uongozi wa juu kabisa kitaifa kama urais, inakupitisha bungeni na kwenye uwaziri, ambako bila siasa za majitaka, bila rushwa, bila udini, ulaghai, ukabila, uchawa, huwezi kutoboa.

Sasa tunategemeaje rais aongoze kwa usafi na integrity ikiwa ngazi ya kumfikisha hapo kwenye urais imejaa uchafu?

Tunapenda sana shirtcuts, majawabu rahisi, ya muda mfupi, bika kufanya kazi ngumu ya kuangalia tumejikwaa wapi, si tumeangukia wapi tu.

Soma post namba 15 na 41 nimeelezea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…