Wazo: Tarehe 17 Machi iwe siku ya mapumziko na iwe ni siku ya kumbukumbu ya Marais waliotangulia

sijawahi kutokwa na machozi kwa viongozi wengine waliotangulia ila siku kama ya Leo nilipo sikia kuwa Magufuli hatunaye machozi yalinitoka kwa uchungu.
RIP. JPM "Chuma Cha pua"
 
Kila tarehe 17 ya mwezi wa tatu ni siku ya maumivu makali kwa Watanzania. Kila ikifika tarehe hiyo ni kama donda lililopona linatoneshwa tena na maumivu kuanza upya, watu wanamkumbuka Hayati Magufuli...
Mzalendo wa kweli kwa bara lake!
 
Shujaa kwenye maisha ya nani?
Sema alikua shujaa kwako
Au shujaa wa kupiga watu risasi?
Ungekuwa we ungecheka na magaidi wale wa kibiti na wasaliti kama kina mbowe ambao baada ya kupewa asali wanademuka tu kwa samia? Watu kama hao wa kazi duniani?
 
Ungekuwa we ungecheka na magaidi wale wa kibiti na wasaliti kama kina mbowe ambao baada ya kupewa asali wanademuka tu kwa samia? Watu kama hao wa kazi duniani?

Lissu alikua gaidi?
Magu alicharaza risasi hata wapinzani wake wa kisiasa
 
Kila tarehe 17 ya mwezi wa tatu ni siku ya maumivu makali kwa Watanzania. Kila ikifika tarehe hiyo ni kama donda lililopona linatoneshwa tena na maumivu kuanza upya, watu wanamkumbuka Hayati Magufuli...
Rubbish! Acha life lihukumiwe kwa kuwaua watu wasio na hatia. Jitu katili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…