Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Hatumkumbuki kwa chochote zaidi ya damu zilizomwagika za kina sananeKila tarehe 17 ya mwezi wa tatu ni siku ya maumivu makali kwa Watanzania. Kila ikifika tarehe hiyo ni kama donda lililopona linatoneshwa tena na maumivu kuanza upya, watu wanamkumbuka Hayati Magufuli...