G
guest-1788672427
Guest
Kwa Dar es salaam
20,000 tu kwa siku
20,000 tu kwa siku
Tafuta odd 2 tubkwa siku tia 20Kwa Dar es salaam
20,000 tu kwa siku
Fungua barber shop ya kiwango Cha kawaida.Kwa Dar es salaam
20,000 tu kwa siku
Bahaji kwa 5M ? ZipoWapikie chakula.. hutokosa 20-40k
Bajaji naskia hesabu daily 20k
Boda bado wanachechemea.. nawasubiri at least wafike 15k per day mkataba wa miezi 18. Najitosa 😀
Hapo sasa madam ngoja waje.. bei ya bajaji sokoni siifahamuBahaji kwa 5M ? Zipo
Jamaa kasema ana milioni 5 ujueWapikie chakula.. hutokosa 20-40k
Bajaji naskia hesabu daily 20k
Boda bado wanachechemea.. nawasubiri at least wafike 15k per day mkataba wa miezi 18. Najitosa 😀
Kwamba hata kuwapikia panahitaji zaidi ya 5M? Mgahawa simple?Jamaa kasema ana milioni 5 ujue
NimeelewaKwamba hata kuwapikia panahitaji zaidi ya 5M? Mgahawa simple?
Bajaji sijui bei
Boda si 3m to 3.5m?
NielekezeCheza aviator
Uxa gongo mwamba yaan principle n ndogo usiwe nchoyo kutoa kwa ...Kwa Dar es salaam
20,000 tu kwa siku
Mgahawa au toyo hiyo hela inatosha ila kwenye bajaj aongeze milioni nyingine 5Kwamba hata kuwapikia panahitaji zaidi ya 5M? Mgahawa simple?
Bajaji sijui bei
Boda si 3m to 3.5m?