Ikoje hii madamChukua viazi njombe
Uza mabibo
Haukosi hiyo hela
Hawezi kusema hyo si unajua wabongobiashara gani hio kaka
nani mkoa gani
tupeane maarifa
Ni biashara kichaa kila mwaka ukipita unamuachia dereva iwe yake halafu wewe mmiliki unaanza upya kununua tenaBoda 2 ni bei gani kwani...? Fanya mkataba natumai boda inalaza 10k kwa siku, watasaidia waliokwishafanya kazi hiyo.
Kila la heri.
bei inategemea ni boda kampuni ganiBoda 2 ni bei gani kwani...? Fanya mkataba natumai boda inalaza 10k kwa siku, watasaidia waliokwishafanya kazi hiyo.
Kila la heri.
UKinunua bajaj endesha mwenyewe ndo utaona faida ila ukimpa mtu utajuta na sikushauri.Bahaji kwa 5M ? Zipo
Kwa mtaji wa 5mil mbona kila mwezi unatengeneza 1milTafuta odd 2 tubkwa siku tia 20
Kuuza maji ya mia mia au kuuza piping sigara na karanga? Nasikia wanalaza hela za maana asee kichwa kimoja kinalaza mpaka 50 kwa sikuKuna sehemu nimeona mtu ana anazungusha mtaji wa 200,000 na analaza 30k daily na ana vijana anawalipa 5000 kila siku
Biashara ganiKuna sehemu nimeona mtu ana anazungusha mtaji wa 200,000 na analaza 30k daily na ana vijana anawalipa 5000 kila siku
Kwa biashara ganKwa mtaji wa 5mil mbona kila mwezi unatengeneza 1mil
Kubet...muue taifa stars leo dhidi ya moroccoKwa biashara gan
Waswahili na chuma ulete, mikopo..Duka la rejareja kama unaweza kuamka saa 12 hadi saa 5 usiku kwenye mitaa ya waswahili hiyo hela unapata na zaidi
MhmhmKwa mtaji wa 5mil mbona kila mwezi unatengeneza 1mil
Ukienda kijinga unakopwa hadi watotoWaswahili na chuma ulete, mikopo..
Haya, ngoja akajaribu..
Biashara is not for beginners...Ukienda kijinga unakopwa hadi watoto
AwapDuka la rejareja kama unaweza kuamka saa 12 hadi saa 5 usiku kwenye mitaa ya waswahili hiyo hela unapata na zaidi
Kumiliki danguro ni kosa la jinai kwa Tanzania, ushauri mbaya huu.Fungua danguro bubu mzee afu agizia wanyama kutoka singida😎
Anaenda Njombe wa miguu na viazi anabeba kichwani eeh!Chukua viazi njombe
Uza mabibo
Haukosi hiyo hela