Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
10+mHapo sasa madam ngoja waje.. bei ya bajaji sokoni siifahamu
Hilokaburi
10+mHapo sasa madam ngoja waje.. bei ya bajaji sokoni siifahamu
Wee kumbe bajaji ni gharama ee.. shida toyo wanataka mkataba wa 12 months.. ukichaa kabisaMgahawa au toyo hiyo hela inatosha ila kwenye bajaj aongeze milioni nyingine 5
Dar kuna joto hivo watu wanakunywa sana maji, nunua mashine ya nanofilter, kwa 1.5 mil inachuja maji lita 500 kwa siku, nunua chupa za kubebea maji zinauzwa 300 kwa pc we utauza 500 then mtu akija ananunua maji kwa 500 ukifanikiwa kuuza lita 200 kwa siku inamaana una laki1 kila sikuKwa Dar es salaam
20,000 tu kwa siku
Bajaj labda uendeshe mwenyewe alafu uitunze vizur utakula matunda yakeWee kumbe bajaji ni gharama ee.. shida toyo wanataka mkataba wa 12 months.. ukichaa kabisa
Nzuri hiiDar kuna joto hivo watu wanakunywa sana maji, nunua mashine ya nanofilter, kwa 1.5 mil inachuja maji lita 500 kwa siku, nunua chupa za kubebea maji zinauzwa 300 kwa pc we utauza 500 then mtu akija ananunua maji kwa 500 ukifanikiwa kuuza lita 200 kwa siku inamaana una laki1 kila siku
AhsanteBoda 2 ni bei gani kwani...? Fanya mkataba natumai boda inalaza 10k kwa siku, watasaidia waliokwishafanya kazi hiyo.
Kila la heri.
AhsanteKama unaweza kuendesha piki piki vizuri. Basi
Chukua Piki Piki yako mpya 3.2M.
Smaty Phone Mpya 300,000 Then sajili BOLT .
Nunua vifaa vya kuendesha(Kama jacket, mabut, miwani maalumu, na vyakuvaa magotini na mikononi)
Chukua bima afya ya mtu Binafs kama 300,000.
Hapo kwenye hiyo 5M utabakiza 1.1M
Iweke Kwa Account ya benk
Bolt inauwezo wa kuingiza zaidi ya 80,000 kwa siku. Ukitoa mafuta kama 12,000 kwa siku na makato yao BOLT ambayo sa ingine wanakupunguzi mzigo kwenye kwa Wale waliokuwa na Offer basi mara nyingi huwa kati ya 10,000 hadi 20,000
Itabaki kama 50,000 .
Rudisha hela ya piki Piki kama 15,000(weka kwenye Account benk) kwa siku.
Alafu 35,000 ndo faida yako.(Ndio umenunua mwenyewe ila hakikisha unajiwekea akilini hela unairudisha) hivyo ndani ya miezi 7 na nusu usharudisha hela yote ya pikipiki.
Katika 35,000 inayobakia Unaweza kutumia kama 10,000(kama chakula hela, maji na kodi(yaan unajiwekea kuwa unaweka kama elfu tatu kwa siku niya kodi)
Unabaki na hela kamili 25,000 ambayo hiyo ushatoa kila matumizi.
Hii ukiweza tunza kwenye Account nyingine tofauti na ile ya kurudisha hela ya pikipiki na hela ulobakiza.
NARUDIA TENA BOLT ya PIKIPIKI ina lipa vibaya mno tatizo wafanya hiyo kazi ni vijana alafu starehe sana na kujipa mapumziko mengi.
Muhimu Jifunze kuwa na lugha nzuri na wateja(abiria) ili wasipunguze rate zako kwenye Bolt(namanisha nyota)) na zingatia kanuni za barabarani.
Anafanya nini huyu ?Kuna sehemu nimeona mtu ana anazungusha mtaji wa 200,000 na analaza 30k daily na ana vijana anawalipa 5000 kila siku
Anapika chips au?Kuna sehemu nimeona mtu ana anazungusha mtaji wa 200,000 na analaza 30k daily na ana vijana anawalipa 5000 kila siku
Ni wa kike lakini mtoa mada 🥰Kama unaweza kuendesha piki piki vizuri. Basi
Chukua Piki Piki yako mpya 3.2M.
Smaty Phone Mpya 300,000 Then sajili BOLT .
Nunua vifaa vya kuendesha(Kama jacket, mabut, miwani maalumu, na vyakuvaa magotini na mikononi)
Chukua bima afya ya mtu Binafs kama 300,000.
Hapo kwenye hiyo 5M utabakiza 1.1M
Iweke Kwa Account ya benk
Bolt inauwezo wa kuingiza zaidi ya 80,000 kwa siku. Ukitoa mafuta kama 12,000 kwa siku na makato yao BOLT ambayo sa ingine wanakupunguzi mzigo kwenye kwa Wale waliokuwa na Offer basi mara nyingi huwa kati ya 10,000 hadi 20,000
Itabaki kama 50,000 .
Rudisha hela ya piki Piki kama 15,000(weka kwenye Account benk) kwa siku.
Alafu 35,000 ndo faida yako.(Ndio umenunua mwenyewe ila hakikisha unajiwekea akilini hela unairudisha) hivyo ndani ya miezi 7 na nusu usharudisha hela yote ya pikipiki.
Katika 35,000 inayobakia Unaweza kutumia kama 10,000(kama chakula hela, maji na kodi(yaan unajiwekea kuwa unaweka kama elfu tatu kwa siku niya kodi)
Unabaki na hela kamili 25,000 ambayo hiyo ushatoa kila matumizi.
Hii ukiweza tunza kwenye Account nyingine tofauti na ile ya kurudisha hela ya pikipiki na hela ulobakiza.
NARUDIA TENA BOLT ya PIKIPIKI ina lipa vibaya mno tatizo wafanya hiyo kazi ni vijana alafu starehe sana na kujipa mapumziko mengi.
Muhimu Jifunze kuwa na lugha nzuri na wateja(abiria) ili wasipunguze rate zako kwenye Bolt(namanisha nyota)) na zingatia kanuni za barabarani.
Kama zinebakiaongexea ndogo oryx na mihan aka taifa gesi niko pale kwa wakala nakusubiriaKodisha sehemu 50000*12
600000
Umeme 10000x12
120000
Nunua gesi mitungi 5kubwa ina mzigoo
85kx5
Oryx
Mihan
78000x5
Ndogo oryx
42000*5
Ndogo mihan 40000*5
Leseniii 80000
Fire ext
90000
Lipia fire certificate ogopa rushwa 110000
Kama itabaki njoo nikutumie no ya kutoa sadaka
Bahaji kwa 5M ? Zipo
biashara gani hio kakaKuna sehemu nimeona mtu ana anazungusha mtaji wa 200,000 na analaza 30k daily na ana vijana anawalipa 5000 kila siku