WAZOEFU NA BIASHARA, NAWEZAJE KUPATA 20K PERDAY KWA MTAJI WA 5M

WAZOEFU NA BIASHARA, NAWEZAJE KUPATA 20K PERDAY KWA MTAJI WA 5M

Ni biashara kichaa kila mwaka ukipita unamuachia dereva iwe yake halafu wewe mmiliki unaanza upya kununua tena
Kweli mkuu ni Biashara kichaa yani ni Bei uliuza ndiyo ulio nunulia. Kila Baada ta Mwaka una uza pikikipi na kununua tena.
 
Fungua cafe nzuri nzuri,,,,senta kwenye mikusanyiko/watu watu,,,, ! Asbh weka maziwa, chai, supu, chapati,,, maandaz na mihogo,,,, ukiweza weka na mishkaki ,,mchana weka pilau, wali ugali,,,, ! Weka wadada wasafi, pia uwe unazunguka madukn kuchukua oda asbhu na mchana,,,, uza bei za kawaida ili hata mpiga debe awe na uwezo wa kuja kula kwako,,,ukiweza kuuza supu nyama 3kgs, ngano chapati 4kgs, Mchele 6kgs, unga 4kgs,,, ukilipa wadada una uwezo wa kulaza 40-60 daily! Uza mchana na asbh tu ,,,ili upumzike vrz, upate na muda wa kuandaa vitu vya kesHo yake

Juice fresh na matunda pia
 
Duka la rejareja kama unaweza kuamka saa 12 hadi saa 5 usiku kwenye mitaa ya waswahili hiyo hela unapata na zaidi
Hii ilikuwa zamani siku hizi ushindani ni mkubwa sana.
Yaani ukipita kwenye kila mtaa haukosi maduka matano ya waha na wanalala humohumo dukani wanafunga saa 6 usiku na saa 11 alfajiri washafungua unadhani utaweza kushindana nao hawa.
 
Kama unaweza kuendesha piki piki vizuri. Basi
Chukua Piki Piki yako mpya 3.2M.
Smaty Phone Mpya 300,000 Then sajili BOLT .
Nunua vifaa vya kuendesha(Kama jacket, mabut, miwani maalumu, na vyakuvaa magotini na mikononi)

Chukua bima afya ya mtu Binafs kama 300,000.
Hapo kwenye hiyo 5M utabakiza 1.1M
Iweke Kwa Account ya benk

Bolt inauwezo wa kuingiza zaidi ya 80,000 kwa siku. Ukitoa mafuta kama 12,000 kwa siku na makato yao BOLT ambayo sa ingine wanakupunguzi mzigo kwenye kwa Wale waliokuwa na Offer basi mara nyingi huwa kati ya 10,000 hadi 20,000

Itabaki kama 50,000 .
Rudisha hela ya piki Piki kama 15,000(weka kwenye Account benk) kwa siku.
Alafu 35,000 ndo faida yako.(Ndio umenunua mwenyewe ila hakikisha unajiwekea akilini hela unairudisha) hivyo ndani ya miezi 7 na nusu usharudisha hela yote ya pikipiki.

Katika 35,000 inayobakia Unaweza kutumia kama 10,000(kama chakula hela, maji na kodi(yaan unajiwekea kuwa unaweka kama elfu tatu kwa siku niya kodi)

Unabaki na hela kamili 25,000 ambayo hiyo ushatoa kila matumizi.
Hii ukiweza tunza kwenye Account nyingine tofauti na ile ya kurudisha hela ya pikipiki na hela ulobakiza.

NARUDIA TENA BOLT ya PIKIPIKI ina lipa vibaya mno tatizo wafanya hiyo kazi ni vijana alafu starehe sana na kujipa mapumziko mengi.

Muhimu Jifunze kuwa na lugha nzuri na wateja(abiria) ili wasipunguze rate zako kwenye Bolt(namanisha nyota)) na zingatia kanuni za barabarani.
mkuu mbona hesabu zako kama hazina uhalisia,yaani kwenye pikipiki uwe unapata elfu 80 kila siku?hapo utakuwa umepakia vichwa vingapi?kuwa serious mkuu
 
hela nyingi sana hio mkuu na return unayotaka ni ndogo sana per day , nunua deep freezer kubwa kabisa hata mawili weka weka kwenye misongamano kama vile stand then wacha vijana wauze vinywani wewe unawapa bei elekezi tu hapo ni maji soda juice na energy utauza sana ukipata location nzuri
Katika biashara zote zilizotajwa humu hii ndio biashara yenye uwezo wa kurudisha hela kwa haraka na faida juu ila ni wachache sana wanaijua hii siri.
Pia kuna wengine huwa wanaweka kibanda kabisa stendi ukipita usiku utawaona wanauza vitu kama sigara,vocha,vinywaji mbalimbali wako bize na wateja muda wote nina uhakika wale hawakosi faida elfu 50 kwa siku.
Na uzuri wake hainaga stress ya mambo ya kulipia kodi ya fremu itakuwa wanalipia ushuru wa eneo kwa siku let say 3000Tsh.
Ukishindwa biashara hii biashara nyingine ni ya banda la kuuza chipsi sehemu yenye msongamano wa watu mtaji inaweza kuwa hata milioni 1 tu kwa kuanzia unamuweka kijana unamwambia awe anakuletea elfu 30 tu kwa siku.
 
Kweli mkuu ni Biashara kichaa yani ni Bei uliuza ndiyo ulio nunulia. Kila Baada ta Mwaka una uza pikikipi na kununua tena.
Yeah na bado kuna matukio kama ya ajali,kukamatwa na polisi kwa kifupi ina risks nyingi kuliko faida.
Mimi nilishawahi kununua pikipiki 3 lakini leo hii sina hata 1 wakati ingekuwa ni aina zingine za biashara endelevu ingekuwepo hadi leo.
 
mkuu mbona hesabu zako kama hazina uhalisia,yaani kwenye pikipiki uwe unapata elfu 80 kila siku?hapo utakuwa umepakia vichwa vingapi?kuwa serious mkuu

Tena hapo nimeongelea Minimum Ila ki uhalisia inaweza kufika hadi laki moja naa kwa siku.

Nina kazi naifanya ambayo kuanzia sa 10 jioni hadi sa tatu usiku inabidi nitumie usafiri wa bolt ili kuwahi maaeneo tofauti kwa haraka.(Kwa siku naweza pakia hadi bolt 8 tofauti)

Nabahatika kuongea nao sana hao boda wa bolt tukiwa njiani Na nilicho ki gundua ndo hicho nilichoandika.. Tena uzuri sio mtu anakusimulia tu ila unaoma kwasababu kwa Account yake huwa inaonyesha ametembea kiasi gani kwa siku na Ameingiza shingapi na Bolt wanamdai shi ngapi.

Ni kama nafanya utafiiti kujifunza zaidi hivyo nawauliza na mwisho wa siku huwa wanaonyesha hata walichoingiza na namna inavyofanya kazi.

Kuna siku anaweza pata safari za mbali ambazo unakuta inaleta kama elfu 8 hadi 13 na hapo ni safari ya dakika 30 au 40.. Hivyo safari kama hizo akizipata hata kumi tayari ashafikisha.

Ikiwa ni ile mida ya watu kutumia usafiri bolt anaweza asipumzike zaidi ya sa tatu. Yaani hata kabla hayamaliza safari ya kwanza tayari ashapata mteja mwingine karibu ma mitaa anapomaliza safari.

Bolt akiwa hadaiwi, ana nyota nyingi pia alafu yuko maeneo ya watumiaji bolt sana haiwezi pita dakika 20 hajapata mteja
 
kibanda cha mpesa chenye visungura mix sigara maeneo ya stand,pawe na pipi karanga..unagoga miamala ila kuna risk ya utapeli kwenye biashara ya miamala sio ya kuiogopa ni kujifunza na umakini kila mara
 
Huko
Tena hapo nimeongelea Minimum Ila ki uhalisia inaweza kufika hadi laki moja naa kwa siku.

Nina kazi naifanya ambayo kuanzia sa 10 jioni hadi sa tatu usiku inabidi nitumie usafiri wa bolt ili kuwahi maaeneo tofauti kwa haraka.(Kwa siku naweza pakia hadi bolt 8 tofauti)

Nabahatika kuongea nao sana hao boda wa bolt tukiwa njiani Na nilicho ki gundua ndo hicho nilichoandika.. Tena uzuri sio mtu anakusimulia tu ila unaoma kwasababu kwa Account yake huwa inaonyesha ametembea kiasi gani kwa siku na Ameingiza shingapi na Bolt wanamdai shi ngapi.

Ni kama nafanya utafiiti kujifunza zaidi hivyo nawauliza na mwisho wa siku huwa wanaonyesha hata walichoingiza na namna inavyofanya kazi.

Kuna siku anaweza pata safari za mbali ambazo unakuta inaleta kama elfu 8 hadi 13 na hapo ni safari ya dakika 30 au 40.. Hivyo safari kama hizo akizipata hata kumi tayari ashafikisha.

Ikiwa ni ile mida ya watu kutumia usafiri bolt anaweza asipumzike zaidi ya sa tatu. Yaani hata kabla hayamaliza safari ya kwanza tayari ashapata mteja mwingine karibu ma mitaa anapomaliza safari.

Bolt akiwa hadaiwi, ana nyota nyingi pia alafu yuko maeneo ya watumiaji bolt sana haiwezi pita dakika 20 hajapata mteja
unaongelea maeneo ya wapi Kariakoo,Posta,Ilala,Mwenge,Makumbusho,Ubungo,Kinondoni?
 
Fungua cafe nzuri nzuri,,,,senta kwenye mikusanyiko/watu watu,,,, ! Asbh weka maziwa, chai, supu, chapati,,, maandaz na mihogo,,,, ukiweza weka na mishkaki ,,mchana weka pilau, wali ugali,,,, ! Weka wadada wasafi, pia uwe unazunguka madukn kuchukua oda asbhu na mchana,,,, uza bei za kawaida ili hata mpiga debe awe na uwezo wa kuja kula kwako,,,ukiweza kuuza supu nyama 3kgs, ngano chapati 4kgs, Mchele 6kgs, unga 4kgs,,, ukilipa wadada una uwezo wa kulaza 40-60 daily! Uza mchana na asbh tu ,,,ili upumzike vrz, upate na muda wa kuandaa vitu vya kesHo yake

Juice fresh na matunda pia
Hii biashara pia ni uhakika mchawi ni location tu,kwa mfano wale wanaouza kwenye maeneo ya stendi wateja ni uhakika.
Ila ukikosea location inakulazimu uuze kwa bei ya chini mno yaani bei ya chakula sahani kwa 1500 na bado watakuwa wanakukopa sana malipo siku nyingine.
 
Hakika
 
Back
Top Bottom