WAZOEFU NA BIASHARA, NAWEZAJE KUPATA 20K PERDAY KWA MTAJI WA 5M

WAZOEFU NA BIASHARA, NAWEZAJE KUPATA 20K PERDAY KWA MTAJI WA 5M

Transform Your Agency Banking Business Today! 💼📈

Are you a mobile or bank agent looking to boost your income and streamline your operations? 🚀

The Wakala Agency Banking System (Mfumo wa Kusimamia Biashara ya Uwakala) empowers agents to seamlessly manage, track finances, and unlock growth opportunities! 💰

✅ Effortless financial tracking
✅ Remotely monitor your business anytime, anywhere
✅ Smart insights with data analysis
✅ Join a thriving community of agents
✅ Built for agents in Tanzania

Ready to take your business to the next level? Watch this video to learn more:
View: https://www.youtube.com/watch?v=2j8SyAnClIQ

📞 Call us now: 0762 896 544

Empower your business. Empower your future. 🌟
 
Nunua pikipki endesha mwenyewe. Jambo kanunue vitunguu Kwa wakulima leta sokoni
 
M 5 mzunguko uwe mkubwa labda utaondoka na 500000 ukiwa wakala mkuu unaweza fika 1 m au pungufu uko ila inaweza drop pia ya hapo
Hivi vigezo na masharti ya kuwa wakala mkuu ni vipi?
 
Kwa Dar es salaam

20,000 tu kwa siku
Toka nje ya mji kidogo....kwenye makazi mapya wanakojengajenga...uza pombe za kienyeji mixer supu za makwasukwasu na nyama choma kimtindo hasa mishikaki ..fegi pia waweza kuweka na bia za ki mchongo n.kn.k kwa pembeni weka genge....
 
Dar kuna joto hivo watu wanakunywa sana maji, nunua mashine ya nanofilter, kwa 1.5 mil inachuja maji lita 500 kwa siku, nunua chupa za kubebea maji zinauzwa 300 kwa pc we utauza 500 then mtu akija ananunua maji kwa 500 ukifanikiwa kuuza lita 200 kwa siku inamaana una laki1 kila siku
Msaada wapi naweza Pata hiyo mashine tafadhali.
 
Back
Top Bottom