dr namugari JF-Expert Member Joined Nov 19, 2022 Posts 10,466 Reaction score 18,206 Mar 23, 2024 #61 FaizaFoxy said: Mwanamme unataka kuoa unakuja kuuliza wanaume wenzako wakusaidie? Nakushauri olewa wewe. Click to expand... Hahahaha Hivi wee bib lini utakuwa kizee mbna unazinguaa sna
FaizaFoxy said: Mwanamme unataka kuoa unakuja kuuliza wanaume wenzako wakusaidie? Nakushauri olewa wewe. Click to expand... Hahahaha Hivi wee bib lini utakuwa kizee mbna unazinguaa sna
Makox Senior Member Joined Jan 19, 2014 Posts 125 Reaction score 163 Mar 23, 2024 #62 Desprospero said: Swali langu linajitosheleza wana jf mnisaidie niingie Chaka ndugu zangu. Nampenda kweli lakini bado hatuja "du". Niepuke nini? Click to expand... OA WAWILI MNGONI NA kabila jingine, ili mngoni awe wa kuazia tu maisha.
Desprospero said: Swali langu linajitosheleza wana jf mnisaidie niingie Chaka ndugu zangu. Nampenda kweli lakini bado hatuja "du". Niepuke nini? Click to expand... OA WAWILI MNGONI NA kabila jingine, ili mngoni awe wa kuazia tu maisha.
The lastborn9319 JF-Expert Member Joined Oct 30, 2021 Posts 852 Reaction score 1,745 Mar 23, 2024 #63 FaizaFoxy said: Mwanamme unataka kuoa unakuja kuuliza wanaume wenzako wakusaidie? Nakushauri olewa wewe. Click to expand... Maneno makali!!!.. MUNGU hapendi matusi kama haya.....mwanaume anaolewaje..!!!???.. Nilikuamini sana,hapa umeniangusha...!
FaizaFoxy said: Mwanamme unataka kuoa unakuja kuuliza wanaume wenzako wakusaidie? Nakushauri olewa wewe. Click to expand... Maneno makali!!!.. MUNGU hapendi matusi kama haya.....mwanaume anaolewaje..!!!???.. Nilikuamini sana,hapa umeniangusha...!
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 11,131 Reaction score 9,301 Mar 23, 2024 #64 Wakuperuzi said: hii kitu inanishangaza sna mtu kuwa na heshima halafu ni malaya nilishapitia hili kwa mmoja mwanzo sikujua km ni mke wa mtu Click to expand... Umalayani hulka na asili yao heshima ni mafunzo ya kimaarifa zaidi.
Wakuperuzi said: hii kitu inanishangaza sna mtu kuwa na heshima halafu ni malaya nilishapitia hili kwa mmoja mwanzo sikujua km ni mke wa mtu Click to expand... Umalayani hulka na asili yao heshima ni mafunzo ya kimaarifa zaidi.
Analyse JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 17,637 Reaction score 47,413 Mar 23, 2024 #65 Desprospero said: Swali langu linajitosheleza wana jf mnisaidie niingie Chaka ndugu zangu. Nampenda kweli lakini bado hatuja "du". Niepuke nini? Click to expand... We kaoe Mzee. Mengine utakutana nayo huko huko. Tokea nimeingia jf, hakuna kabila ambalo halijawahi kusemwa vibaya. Humu watu watakupa historia za ma-ex zao badala ya kabila husika.....sasa ukisikiliza maneno ya wenye hasira za matukio ya ma-ex zao, hutooa.
Desprospero said: Swali langu linajitosheleza wana jf mnisaidie niingie Chaka ndugu zangu. Nampenda kweli lakini bado hatuja "du". Niepuke nini? Click to expand... We kaoe Mzee. Mengine utakutana nayo huko huko. Tokea nimeingia jf, hakuna kabila ambalo halijawahi kusemwa vibaya. Humu watu watakupa historia za ma-ex zao badala ya kabila husika.....sasa ukisikiliza maneno ya wenye hasira za matukio ya ma-ex zao, hutooa.
KUKU_UFUGAJI JF-Expert Member Joined Nov 4, 2016 Posts 857 Reaction score 1,727 Mar 24, 2024 #66 dr namugari said: Mm alitaka tuzae nae Kisha ile mimba ambambike mume wake [emoji23] Click to expand... Balaaa sasa hilo mkuu. Ila ndiyo watoto wa kingoni hao ni kama wamechanjiwa juu ya ukuni
dr namugari said: Mm alitaka tuzae nae Kisha ile mimba ambambike mume wake [emoji23] Click to expand... Balaaa sasa hilo mkuu. Ila ndiyo watoto wa kingoni hao ni kama wamechanjiwa juu ya ukuni
M Marytina JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 9,585 Reaction score 7,766 Mar 25, 2024 #67 wana heshima na ukiwa unajimudu japo kidogo ni waaminifu...yaan just kula na nguo hutamsikia akihangaika na mwanaume mwingine
wana heshima na ukiwa unajimudu japo kidogo ni waaminifu...yaan just kula na nguo hutamsikia akihangaika na mwanaume mwingine