Wazoefu wa mambo ya familia nipeni ushauri

Wazoefu wa mambo ya familia nipeni ushauri

Huyo mwanamke hakufai mkuu, fanya juu chini uachane nae maana hizo ni dalili mbaya kwa ustawi wa wewe na familia yako huko mbeleni.
Muache uendelee na maisha yako, na ukiamua kumuacha usije ukasikiliza makelele ya watu ama ndugu. Ziba masikio na ikiwezekana samahe baadhi ya vitu na uanze uoya ili uokoe nafsi yako.
 
Huyu mwanamke tumekua kwenye mahusiano kwa zaidi ya mwaka. Katika kipindi hicho alikuwa anaishi kwao. Wakati tunaanza mahusiano alinieleza kuwa tayari ana mtoto wa kiume. Na kwasababu pia Mimi nilishapata Mtoto huko nyuma sikuona tatizo. Huyo mwanaye baba yake yupo na maisha yake mengine safi tu.

Baada ya kungoja sana mambo yake sawa, tukafikia kuamua kuishi pamoja angalau kwa kuwahusisha wazazi hasa upande wake. Binti ikabidi aje tuishinaye vkwangu. Hapo awali tulikubaliana kuwa huyo mwanaye atabaki kuishi kwa bibiyake na tutamuhudumia akiwa huko.Mimi mwanangu Yuko shuleni na akiwa likizo anakuja kusalimia na kurudi kwa mama, maana yeye ni wa kike.

Sasa baada ya miezi mitatu ya kuishi naye, huyu mwanamke alisubiri nikiwa safari akaenda kumleta huyo mwanaye aje aishi hapo. Pia hakuishia hapo akabeba na watoto wawili wa dada yake nao kaleta hapo na Sasa Kuna watoto watatu.

Nimesafiri tena na kurudi na bado nawakuta na hawana mpango wa kuondoka. Tayari anawaweja kwenye mipango na bajeti zetu kama wangu vile.

Binafsi napenda kuishi na Mtoto ambaye nakuwa huru naye. Yaani hata nikimuonya asichukulie kama namtesa. Kuna mambo yanafanyika nakaa kimya lakini nimegundua hiyo inanitesa Mimi.

Tafadhali nipe USHAURI wako. Hapo nifanyeje ili nipatie amani bila kuonekana Nina roho mbaya?
Toa Ultimatum hutaki kuona simbilisi yeyote mjengoni 😀
 
Mkuu, ukitaka kuishi kwa furaha ndani ya nyumba....
-Epuka sana mwanamke anaejichukulia maamuzi pasipo kukushirikisha.
-Epuka sana mwanamke ambae ukifoka ama mkitofautiana ananyenyua ama kupaza sauti yake juu sana.
-Epuka sana mwanamke anaejifanya kujua zaidi yako.
-Epuka sana mwanamke anaejifanya supa woman pawa sijui wanajiita wenyenyewe.
 
Angesubiri hata mzae mtoto wenu kwanza. Pole mkuu ila ongea naye arudishe watoto wa watu (hao wawili).
Huyo wa kwake mvumilie tu mkuu mama kukaa mbali na mwanaye wa kumzaa huku ana maisha mazuri ni mtihani sana. Anakuwa anatamani kila anachokula na mwanae angekula.
Yani uzae nae tena mtu mwenye akili hio si kutafta majanga 🤣
 
Mabinti wa siku hizi hawana mafunzo ya adabu kwa mwanaume. Ukikalia kimya tabia zao za hovyo ni kama unampa ruhusa ya kufanya upuuzi zaidi.

Kama amekuletea hao watoto umepiga kimya then soon watakuja na ndugu zake wakubwa kuweka kambi halafu utashangaa siku huyo aliyekuwa mwanaume wake wa awali amekuja watembelea hapo akisema kaja kumsalimia mtoto wake.

Mwanaume kuwa na utaratibu kwako ni jambo la lazima na mwanamke anatakiwa kuridhia matakwa yako na kutekeleza maelekezo yako kama anapinga kabla ya utekelezaji ina maana hapo ndani mpo wanaume wawili.

Rejea nyumbani, mwite umpe maagizo tena kibandidu. Ni ngumu ila inawezekana kwa mwanaume, muhoji juu ya ujio wa hao watoto ulisababishwa na shida gani, halafu kwasababu yoyote atakayokupa azimio lako ni kutoa pesa huku yeye akiona, hao watoto waandaliwe warudi makwao kwa wazazi wao, walizaa wa nini kama wanashindwa watunza?

Then pambania kuestablish utaratibu mpya wa namna mnaishi hapo ndani. Mwanamke asiwe na maamuzi ya kukurupuka na kujiamulia anavyojisikia maana huwa wanakuwaga na maamuzi ya hovyo muda mwingine, hashindwi siku kukaribisha dada za mwanaume aliyezaa nae hapo kuja kulala,au hashindwi kujishughulisha na maswala ya kifamilia upande wa baba wa mtoto wake.

Ukiona mwanamke hatii maelekezo yako then haraka sana fanya kumdiscard.
 
Ni falsafa uchwara isiyo na maana. Je kama boga limeoza utaendelea kulipenda ili upate nini mwanangu?
Hilo boga na uwa lake ni mizigo ya mwanamke kuja kwa mwanaume tu ila sio kwa mwanaume kwenda kwa mwanamke.

Mbona wanaume huwa hawapeleki maboga na mauwa kwa mwanamke yakapokelewa vema tu.
 
Hana huruma na wewe; usipokuwa makini utaumizwa, kwa ushauri wangu, mwambie achague moja, muachane au akusikilize wewe.
 
Huyu mwanamke tumekua kwenye mahusiano kwa zaidi ya mwaka. Katika kipindi hicho alikuwa anaishi kwao. Wakati tunaanza mahusiano alinieleza kuwa tayari ana mtoto wa kiume. Na kwasababu pia Mimi nilishapata Mtoto huko nyuma sikuona tatizo. Huyo mwanaye baba yake yupo na maisha yake mengine safi tu.

Baada ya kungoja sana mambo yake sawa, tukafikia kuamua kuishi pamoja angalau kwa kuwahusisha wazazi hasa upande wake. Binti ikabidi aje tuishinaye vkwangu. Hapo awali tulikubaliana kuwa huyo mwanaye atabaki kuishi kwa bibiyake na tutamuhudumia akiwa huko.Mimi mwanangu Yuko shuleni na akiwa likizo anakuja kusalimia na kurudi kwa mama, maana yeye ni wa kike.

Sasa baada ya miezi mitatu ya kuishi naye, huyu mwanamke alisubiri nikiwa safari akaenda kumleta huyo mwanaye aje aishi hapo. Pia hakuishia hapo akabeba na watoto wawili wa dada yake nao kaleta hapo na Sasa Kuna watoto watatu.

Nimesafiri tena na kurudi na bado nawakuta na hawana mpango wa kuondoka. Tayari anawaweja kwenye mipango na bajeti zetu kama wangu vile.

Binafsi napenda kuishi na Mtoto ambaye nakuwa huru naye. Yaani hata nikimuonya asichukulie kama namtesa. Kuna mambo yanafanyika nakaa kimya lakini nimegundua hiyo inanitesa Mimi.

Tafadhali nipe USHAURI wako. Hapo nifanyeje ili nipatie amani bila kuonekana Nina roho mbaya?
Mi mwanamke
Nakuuliza unataka ushauri gani hapo?
Huoni km hili ni tatizo Tena mwanzo kabisa?
Acha ujinga,kwann mpange vingine na afanye vingine bila kukushirikisha?

Ukiona Moshi.......
 
Aisee hivi wanaume wezeru mnaotulia na masingle maza utamu wa mbususu zao unawachanganya mpaka mnashindwa kutumia akili zenu? Sii umtombeee tuu na kumuacha aendelee na bby daddy wake. Ugumu upo wapi?
 
Fukuza roho ya ubinafsi hamuwezi punguka na kitu kwa kuishi wengi riziki yenu ipo pale pale tu.
Chukulia tu kama ni familia yako tu
 
Aisee hivi wanaume wezeru mnaotulia na masingle maza utamu wa mbususu zao unawachanganya mpaka mnashindwa kutumia akili zenu? Sii umtombeee tuu na kumuacha aendelee na bby daddy wake. Ugumu upo wapi?
Kama anajitambua kuliko asiye single mama unasemaj
 
Back
Top Bottom