mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,072
- 12,119
Epuka sana mwanamke anaejichukulia maamuzi pasipo kukushirikisha.Mkuu, ukitaka kuishi kwa furaha ndani ya nyumba....
-Epuka sana mwanamke anaejichukulia maamuzi pasipo kukushirikisha.
-Epuka sana mwanamke ambae ukifoka ama mkitofautiana ananyenyua ama kupaza sauti yake juu sana.
-Epuka sana mwanamke anaejifanya kujua zaidi yako.
-Epuka sana mwanamke anaejifanya supa woman pawa sijui wanajiita wenyenyewe.
-Epuka sana mwanamke ambae ukifoka ama mkitofautiana ananyenyua ama kupaza sauti yake juu sana.
-Epuka sana mwanamke anaejifanya kujua zaidi yako.
-Epuka sana mwanamke anaejifanya supa woman pawa sijui wanajiita wenyenyewe. SIKUPINGI