Toa Ultimatum hutaki kuona simbilisi yeyote mjengoni 😀Huyu mwanamke tumekua kwenye mahusiano kwa zaidi ya mwaka. Katika kipindi hicho alikuwa anaishi kwao. Wakati tunaanza mahusiano alinieleza kuwa tayari ana mtoto wa kiume. Na kwasababu pia Mimi nilishapata Mtoto huko nyuma sikuona tatizo. Huyo mwanaye baba yake yupo na maisha yake mengine safi tu.
Baada ya kungoja sana mambo yake sawa, tukafikia kuamua kuishi pamoja angalau kwa kuwahusisha wazazi hasa upande wake. Binti ikabidi aje tuishinaye vkwangu. Hapo awali tulikubaliana kuwa huyo mwanaye atabaki kuishi kwa bibiyake na tutamuhudumia akiwa huko.Mimi mwanangu Yuko shuleni na akiwa likizo anakuja kusalimia na kurudi kwa mama, maana yeye ni wa kike.
Sasa baada ya miezi mitatu ya kuishi naye, huyu mwanamke alisubiri nikiwa safari akaenda kumleta huyo mwanaye aje aishi hapo. Pia hakuishia hapo akabeba na watoto wawili wa dada yake nao kaleta hapo na Sasa Kuna watoto watatu.
Nimesafiri tena na kurudi na bado nawakuta na hawana mpango wa kuondoka. Tayari anawaweja kwenye mipango na bajeti zetu kama wangu vile.
Binafsi napenda kuishi na Mtoto ambaye nakuwa huru naye. Yaani hata nikimuonya asichukulie kama namtesa. Kuna mambo yanafanyika nakaa kimya lakini nimegundua hiyo inanitesa Mimi.
Tafadhali nipe USHAURI wako. Hapo nifanyeje ili nipatie amani bila kuonekana Nina roho mbaya?
Yani uzae nae tena mtu mwenye akili hio si kutafta majanga 🤣Angesubiri hata mzae mtoto wenu kwanza. Pole mkuu ila ongea naye arudishe watoto wa watu (hao wawili).
Huyo wa kwake mvumilie tu mkuu mama kukaa mbali na mwanaye wa kumzaa huku ana maisha mazuri ni mtihani sana. Anakuwa anatamani kila anachokula na mwanae angekula.
Hilo boga na uwa lake ni mizigo ya mwanamke kuja kwa mwanaume tu ila sio kwa mwanaume kwenda kwa mwanamke.Ni falsafa uchwara isiyo na maana. Je kama boga limeoza utaendelea kulipenda ili upate nini mwanangu?
Mi mwanamkeHuyu mwanamke tumekua kwenye mahusiano kwa zaidi ya mwaka. Katika kipindi hicho alikuwa anaishi kwao. Wakati tunaanza mahusiano alinieleza kuwa tayari ana mtoto wa kiume. Na kwasababu pia Mimi nilishapata Mtoto huko nyuma sikuona tatizo. Huyo mwanaye baba yake yupo na maisha yake mengine safi tu.
Baada ya kungoja sana mambo yake sawa, tukafikia kuamua kuishi pamoja angalau kwa kuwahusisha wazazi hasa upande wake. Binti ikabidi aje tuishinaye vkwangu. Hapo awali tulikubaliana kuwa huyo mwanaye atabaki kuishi kwa bibiyake na tutamuhudumia akiwa huko.Mimi mwanangu Yuko shuleni na akiwa likizo anakuja kusalimia na kurudi kwa mama, maana yeye ni wa kike.
Sasa baada ya miezi mitatu ya kuishi naye, huyu mwanamke alisubiri nikiwa safari akaenda kumleta huyo mwanaye aje aishi hapo. Pia hakuishia hapo akabeba na watoto wawili wa dada yake nao kaleta hapo na Sasa Kuna watoto watatu.
Nimesafiri tena na kurudi na bado nawakuta na hawana mpango wa kuondoka. Tayari anawaweja kwenye mipango na bajeti zetu kama wangu vile.
Binafsi napenda kuishi na Mtoto ambaye nakuwa huru naye. Yaani hata nikimuonya asichukulie kama namtesa. Kuna mambo yanafanyika nakaa kimya lakini nimegundua hiyo inanitesa Mimi.
Tafadhali nipe USHAURI wako. Hapo nifanyeje ili nipatie amani bila kuonekana Nina roho mbaya?
Yaani nimeamini wanaume sikuhizi ni wachache snImagine,hivi kwa akili ya kawaida inaingia akilini
Kumleta mtoto haikuwa shida ndo iwe bila taarifa,umeoa au umeolewa?
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Mke wa mtu then mswahili pumbv zakeUmeoa mke wa mtu
Achana naye mapema
Kumbe unapenda sauti ndani ya nyumba eehYaani nimeamini wanaume sikuhizi ni wachache sn
Mi sipendi mwanaume ambae Hana sauti
Kama anajitambua kuliko asiye single mama unasemajAisee hivi wanaume wezeru mnaotulia na masingle maza utamu wa mbususu zao unawachanganya mpaka mnashindwa kutumia akili zenu? Sii umtombeee tuu na kumuacha aendelee na bby daddy wake. Ugumu upo wapi?
Wamekuja kuishi au kusalimia mke nae anamchango gani kiuchumiImagine,hivi kwa akili ya kawaida inaingia akilini
Kumleta mtoto haikuwa shida ndo iwe bila taarifa,umeoa au umeolewa?
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app