Wazungu kuja kufanya mikutano ya Injili ya Kilokole litazamwe kwa umakini

Wewe kama umeshindwa imani kaa pembeni endelea kutambikia na kufanya matambiko tuache sisi na imani yetu. Kafie mbele huko..
 
Mkuu mbona uko paranoid sana? Huo ni ugonjwa wa akili.
 
Mbona waarabu walileta wahubiri kibao na kuleta taharuki ya kuchambua biblia mpaka pakazaa ugaidi hukuongea?
 
Da nadhani Wote tuchukue tahadhari hata wasio wazungu wana corona.tusije tukadhani wenyewe kwa wenyewe tuko salama.
 
Wewe kama umeshindwa imani kaa pembeni endelea kutambikia na kufanya matambiko tuache sisi na imani yetu. Kafie mbele huko..
Kwa hiyo mlokole unatukana au? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
because many Africans are stupid...hawa jamaa bado wanaendeleza harakat zao za kusambaza utumwa wa akili kwa waafrika il uzid kuwakamata kiukwel kwel,,inashangaza et mtu aache shida za uko kwao aje kukuhubiria wew wa huku bongo land distance ya toka kwao mpk hapa? kwa upendo gan walio nao?? , kwa msiowajua wazungu mtabaki na upumbv wen wakujisifu na kuwasifu kuwaa oooh Mungu anawapenda, achen ujinga na upuuz eny waafrika, Mungu hawez mtuma mtu wa mbali aje akuonye wew mtu wa kishimundu uko, ila atamtuma mtu jran yao, ndugu yako, ama mweus mwenzako akuonye na kukufundsha na sio jamii ya tofaut naww ije ikufundshe wakat haijui unapitia changamoto gan,,Hawa walokole uchwara wanatka kurudia makosa yalee yalee waliyofanya babu zetu kipind kile cha kuruhusu wamishionari wasambaze hizo dini , zilizoleta ubaguz ,ujinga, uwiz, ushirikina na vifungo vya akili,.wazungu n watu wajanja sanaa, hutumia mbinnu za ajbu sana kupitisha ajenda zao,,anaweza akajfanya mchungaji anahubr mpk watu wanaanguka, kumbe ni agent wa C.I.A kapewa mission ya kuja kumwaga virus vya magonjwa ktk umati wa watu kupitia mafuta ya upako,maji ya upako, vitambaa vya upako, chumvi, ama hata marashi yenye hewa chafu, ambapo anaweza kuwaachia hapa alf yeye akasepa zake, mwishoe nyie mkabaki na majanga, ndio mtafutano unaanzia hapo, sjui mtamlaumu nan,,,,,, MUNGU HAJAWAI MTUMA NA HAWEZI MTUMA MTU WA MBALI AJE AKUKOMBOE AMA AKUPE NURU YA MAISHA WEW MTU WA JAMII YA TOFAUT NA YAKE.....AMKENII WAAFRIKA MTADANGANYWA MPKA LINI????
 
I concur with you
 
Na wamezagaa kweli kweli, Mbeya niliwaona, Kigoma pia niliwaona, Dom pia niliwaona hawa jamaa na ni ndani ya muda mfupi tu.
Hata mimi niliona mabango yamezagaa huku pande za kanda ya ziwa.......wangejikita zaidi kuhubiria wazungu wenzao maana nadhani ndo waliopotea zaidi kiroho hadi kuungana kuhalalisha ushoga......
 
Hata mimi niliona mabango yamezagaa huku pande za kanda ya ziwa.......wangejikita zaidi kuhubiria wazungu wenzao maana nadhani ndo waliopotea zaidi kiroho hadi kuungana kuhalalisha ushoga......
Siyo lazima ukomment kila uzi hata kama hujui kitu kuhusu suala hilo ni heri ukapita kimya kimya bila kusema chochote.
 
Siyo lazima ukomment kila uzi hata kama hujui kitu kuhusu suala hilo ni heri ukapita kimya kimya bila kusema chochote.
Mbona umechachamaa sana, wewe ni shoga? nimesema hao wazungu wangejikita kuwahubiria wazungu wenzao ambao wameungana kumtumikia ibilisi kupitia chukizo la ushoga....hapo vipi?
 
Opportunity Cost Mbona huyu mdau haujamjibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…