Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Kwani hujui sheria za Qatar? Kwamba wabadili sheria zao kwa kitu cha mwezi mmoja hapa bongo miaka 60 tangu uhuru bado katika ni ile ile 😂😂😂.Wangekuwa na msimamo wangesema mapema wakati wanaomba ku host kwamba pombe na hayo mambo mengine hayataruhusiwa, hiki wanachofanya sasa ni janja janja kama ile ya matajiri wadhulumaji wa nyumba na viwanja ambapo wana mset mwenye mali kwa madeni ya kijanja mpaka anashindwa kulipa kisha wanabeba nyumba.
Nyie ubishi ndo Hadi yenu, hapo shekhe amesema" mtaje swahaba yoyote wa mtume aliyekuwa mcheza mpira," ina maana hajasoma maandiko?Sasa hicho ndio kitabu au maneno ya mtu?
Sisi dini yetu tunaichukua kutoka kwenye kitabu na sunna za mtume muhammadi (swalallah alayh wa sallam) sio maneno ya kusadikika mzee ndio maana huwez kukuta kuna agano jipya wala la kale so katafute hoja nyingn sio kuniletea mashehe wa mchongo
Naona uneshindwa kujibizana nami kwa kutumia mantiki.Kwahy wataka kuniambia hao FIFA waliokubali hawajui sheria ya mikataba unajua wewe uliokuwa huko sambulachore mwisho wa upepo sio?
Suala si pombe, suala ni Qatar kuwa kigeugeu dakika ya mwisho na kupindua uamuzi wa kukubali pombe siku chache kabla ya World Cup kuanza.Yuko sahihi, Allah amlinde.
Hapo mbona umekalimani tofauti na mada au ndo madhara ya kukopi na kupaste#MICHEZO Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA Gianni Infantino amezungumza na waandishi wa habari huko Qatar kuhusiana na malalamiko ya kutokuwepo kwa pombe viwanjani kwenye michuano ya Kombe la Dunia.
Infantino amesema kuwa,“Kama pombe ndilo suala kubwa tulilonalo kwa Kombe la Dunia basi nitajiuzulu mara moja na kwenda ufukweni kupumzika."
"Usipokunywa bia kwa masaa mawili matatu, bado unaweza kuishi, kwa sababu utaratibu huu pia upo hata kwenye nchi za Ulaya, ukienda Ufaransa, Ureno hata Uswisi sheria hizi zipo.Hapa imekuwa jambo kubwa sijui ni kwanini au ni kwa kuwa sababu ni nchi ya Kiislamu."
#WorldCupQatar #
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mjuaji wa JF hawezi kukuelewa,hua anajikoki kubishana badala ya kueleweshana,akili yake hua inamuongopea kua yeye anajua kila kitu hapa JF na kingereza chake kama cha wafanya mazingaombwe wa zamani.Hapo ni kwa watu unajua madhara yake? wako kweny ardhi yako kuruhusu ustaarabu mwingine ni kuhalalisha kusambaa kwa ustaarabu wao ni rahisi sana ndani ya mwezi mmoja .
Kuwa makini katika kutunza tamaduni zako watu wanakuja na kuondoka ila athari zinabaki milele..
Kitu ni simple tu fuata taratibu then utaondoka ..
Kuna dini halafu kuna utamaduni hvyo ni vitu viwil tofaut ukisema utamadun bc hata kuvaa surual ni utamaduni wa wazungu na utamaduni wa waarabu ni kuvaa kanzu,Nyie ubishi ndo Hadi yenu, hapo shekhe amesema" mtaje swahaba yoyote wa mtume aliyekuwa mcheza mpira," ina maana hajasoma maandiko?
Mpira wa miguu ni moja ya tamaduni kutoka ulaya, Wala si utamaduni wa mwarabu.
He is delusional.🤯He feels gay but he is OK with his fellow gays being banished from Qatar?
What kind of gay swagger jacking is this?
[emoji106][emoji106][emoji106]
Kweli kabisa kwa sababu kakuongea weweKaongea utumbo
mnakataa pombe ila miji mliojaa nyie ndio inaongoza kwa ufirauni m@m#3 zenu na hata kipindi mkia mfungoni biashara ya kitimoto huwa inadoda halafu mnakuja kuandika upuuzi tuYuko sahihi, Allah amlinde.
Unapoenda kwenye nchi ya mwenzako jaribu kuheshimu taratibu za nchi husika huo ulevi na kufumuana mitaro subiri ukirudi kwenuTatizo pombe na ufirauni unavyouchukulia wewe si kila mtu anachukulia hivyo.
Kwa sababu haya ni mambo ya tamaduni tofauti kuchukulia mambo tofauti.
Inawezekana utamaduni mmoja ukaona pombe ni kitu haram, wakati utamaduni mwingine ukaona kabla ya shughuli yoyote muhimu ni lazima lifanyike tambiko la pombe.
Sasa, katika jambo linalokutanisha tamaduni nyingi za dunia, kujua jinsi ya kwenda hapo ni changamoto.
Pia, huo unaouita ufirauni, kwa wengine ni haki ya kibinadamu tu, ni sawa na wewe unavyoona una haki ya kwenda uwanjani na familia yako halafu mtu akukataze akuambie huo ni ufirauni. Ni masuala ya tamaduni tofauti.
Hii utakua umeitunga ww , Sasa ingekua ni dhambi Qatar wangeruhusu Mpira uchezwe kwao , kwanza ndio nalisikia kwako , yaani unashabikia kabisa kufumuliwa marinda aiseenyie si mnasema mpira ni dhambi? tatizo mmejawa na unafiki
Kwanza kabisa umeandika kama mtu ambaye hawezi kufanya fikra dhahania.Unapoenda kwenye nchi ya mwenzako jaribu kuheshimu taratibu za nchi husika huo ulevi na kufumuana mitaro subiri ukirudi kwenu
Wewe umefanya huo ufikiri yakinifu kabla ya kutetea upuuziKwanza kabisa umeandika kama mtu ambaye hawezi kufanya fikra dhahania.
Yani huwezi kuongelea hoja mpaka uniweke mimi kama mtu binafsi.
Hii ni ishara kubwa ya watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri.
You have a problem with abstract thinking.
You want to personalize everything.
unaona akili zenuHii utakua umeitunga ww , Sasa ingekua ni dhambi Qatar wangeruhusu Mpira uchezwe kwao , kwanza ndio nalisikia kwako , yaani unashabikia kabisa kufumuliwa marinda aisee
hawa hawajawahi kuwa na hoja zaidi ya hiyo ya marindaKwanza kabisa umeandika kama mtu ambaye hawezi kufanya fikra dhahania.
Yani huwezi kuongelea hoja mpaka uniweke mimi kama mtu binafsi.
Hii ni ishara kubwa ya watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri.
You have a problem with abstract thinking.
You want to personalize everything.