Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Mshike mzungu mmoja aongee nawewe kidhungu kutujulisha anenda wapi na kwa nini!Waku nipo Bole International Airport muda gate la Kilimanjaro & Zanzibar wazungu ni wengi kupitiliza.
Watani wetu wa jadi Kenya wamenuna ndege kuelekea Nairobi wazungu hawazidi kumi.
Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu mkubwa.
Ngongo kwasasa Addis Ababa Bole International Airport
Ziwafikie Sukumagang Masalia😂Waku nipo Bole International Airport muda gate la Kilimanjaro & Zanzibar wazungu ni wengi kupitiliza.
Watani wetu wa jadi Kenya wamenuna ndege kuelekea Nairobi wazungu hawazidi kumi.
Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu mkubwa.
Ngongo kwasasa Addis Ababa Bole International Airport
Akituma nistue.Picha
Duh! Kwahio hujui ET inaenda karibu dunia nzima na hata ukitoka US/UK etc kwa kutumia ET lazima ushuke Addis ndio upande ndege ya kukupeleka Znz/Kia/Dsm/Nrb etc?He, Wazungu watalii toka Ethiopia! Huu sasa utani.
Hujasoma comment inayosema wanalikimbia joto 😂Ngoja waje wale wachezaji wa Pingapinga FC uone mashambulizi yao.
Lini tumepambana kuwashusha wakenya kama sio wakenya ndo wamepambana kutushusha sisi refer ishu ya loliondo na yule slayqueen wa NigeriaBadala tupambane kupanda kama Kenya sisi tuna pambana kuwashusha wakenya sijui nani katuloga?
Mnaweweseka sana,ni muda wa NYUMBU kurejea Maasai Mara toka huko kwenyu Serengeti.Niko KIA mafuriko balaa....hii July na August ni MAVUNO!!!!
Wala hatuhitaji kuwapitishia watalii wetu kwenye viwanja vya ajabu ajabu kama Bole sijui nini.Waku nipo Bole International Airport muda gate la Kilimanjaro & Zanzibar wazungu ni wengi kupitiliza.
Watani wetu wa jadi Kenya wamenuna ndege kuelekea Nairobi wazungu hawazidi kumi.
Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu mkubwa.
Ngongo kwasasa Addis Ababa Bole International Airport
Sawa tumejua kuwa nawe umepanda ndege.Waku nipo Bole International Airport muda gate la Kilimanjaro & Zanzibar wazungu ni wengi kupitiliza.
Watani wetu wa jadi Kenya wamenuna ndege kuelekea Nairobi wazungu hawazidi kumi.
Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu mkubwa.
Ngongo kwasasa Addis Ababa Bole International Airport
Naona unayasema wakati unatetemekaHakuna utafiki wa kweli kati ya Kenya na Tanzania
USSR
Tangu baba wa taifa alipofariki basi ndiyo aliondoka na ueledi wetu kama taifa.Badala tupambane kupanda kama Kenya sisi tuna pambana kuwashusha wakenya sijui nani katuloga?
Kamwe hamtaiweza Kenya hata mkeshe mnaroga makaburiniHakuna urafiki..hawa ni kupigana nao spana mwanzo mwisho
Hakuna utalii wa kuona sinema ikiisha unafunga safari kwenda kutalii ulikokuona, utalii hupangwa mwaka mmoja kabla, utalii wa ndani unakwenda Sabasaba unapanda basi mnapelekwa Mikumi jioni mnarudi. Hii habari ya kuona Royal Tour ndani ya ndege kisha mnamwambia rubani ageuze ndege mkaone haipo.Duh! Kwahio hujui ET inaenda karibu dunia nzima na hata ukitoka US/UK etc kwa kutumia ET lazima ushuke Addis ndio upande ndege ya kukupeleka Znz/Kia/Dsm/Nrb etc?
Wengine ndiyo wanaingia kuchukua nafasi ya masaai tuliowafukuza kutoka kwenye sehemu zao walizo kuwa wanaishi.Kupiga picha bila ridhaa ya wahusika ni jambo gumu isitoshe hii nchi ipo kijelajela wana Vita ya wenyewe kwa wenyewe.
Rizika na ninachokuambia.Kama kuna mwanaJF uwanja wa KIA na Karume anaweza kushuhudia nyomi itakayoshuka baada ya saa moja kuanzia sasa.
Ukikufa je?Mnaweweseka sana,ni muda wa NYUMBU kurejea Maasai Mara toka huko kwenyu Serengeti.
Utalii mmeanza kuuelewa juzi tu bichwa tayari .
Kalb wahed.
Hamtakaa muwaweze Kenya maana tayari wapo juu sana kiuchumi.Hatupambani na Kenya bali tutawaacha kwa mbali saaaana.
Anadhani njia ya kutoka Ulaya wanatumia ya kupitia kwao ikungiusiongee kwa sauti, utachekwa.