Wewe umejuaje hao wazungu wanakuja Kilimanjaro nk?Waku nipo Bole International Airport muda gate la Kilimanjaro & Zanzibar wazungu ni wengi kupitiliza.
Watani wetu wa jadi Kenya wamenuna ndege kuelekea Nairobi wazungu hawazidi kumi.
Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu mkubwa.
Ngongo kwasasa Addis Ababa Bole International Airport
Aisee... Mkuu Tembea Duniani acha kukaa hapo Makao Makuu ya CCM Dodoma pekee...Wewe umejuaje hao wazungu wanakuja Kilimanjaro nk?
Ilhali kila mtu yupo na passport yake pamoja na ticket yake?
Umefanya nao interview?
Wakati wewe upo Bole airport umewezaje kujua kinachoendelea huko Kenya wakati haupo huko?
Acha uchawa!
Ni sahihi kabisa kwa Leo nimekutana na magari mengi Sana ya watalii yanayotokea KIAKupiga picha bila ridhaa ya wahusika ni jambo gumu isitoshe hii nchi ipo kijelajela wana Vita ya wenyewe kwa wenyewe.
Rizika na ninachokuambia.Kama kuna mwanaJF uwanja wa KIA na Karume anaweza kushuhudia nyomi itakayoshuka baada ya saa moja kuanzia sasa.
Connection ya flight kuja Tanzania ipo Bole na Jomo Kenyatta pia. Kama umeona abiria wengi Bole, yawezekana na Nairobi ni wengi zaidi. Tufikirie kwa ujumla wa kujenga na kuandika kwa mtazamo wa mbali unaojenga mahusiano zaidi.Waku nipo Bole International Airport muda gate la Kilimanjaro & Zanzibar wazungu ni wengi kupitiliza.
Watani wetu wa jadi Kenya wamenuna ndege kuelekea Nairobi wazungu hawazidi kumi.
Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu mkubwa.
Ngongo kwasasa Addis Ababa Bole International Airport
Kweli kabisaToo early to say.
Take into consideration the COVID-19 hiatus.
They were forced to cut back from daily flights to three(?) per week now?
Rwanda Airways was in the works, don't know how far they have reached on the same route!
Kweli aseeTrump
Hao wenzetu wana more direct flights to Nairobi kuliko sisi
We are doing very well…. I am sure takwimu zitaongea
But Bole might be a wrong indicator
Wewe umejuaje hao wazungu wanakuja Kilimanjaro nk?
Ilhali kila mtu yupo na passport yake pamoja na ticket yake?
Umefanya nao interview?
Wakati wewe upo Bole airport umewezaje kujua kinachoendelea huko Kenya wakati haupo huko?
Acha uchawa!
Achana na roho za kimaskini bro. Wazungu kwa kuja kama watalii wanaongeza pato la taifa.Hao wazungu watawaletea nini wazazi wako huko kijijini ?
Weke namba ya simu,unaweza kupata uteuzi.
Ufinyu wa akiliBadala tupambane kupanda kama Kenya sisi tuna pambana kuwashusha wakenya sijui nani katuloga?
Hao wazungu watawaletea nini wazazi wako huko kijijini ?
Weke namba ya simu,unaweza kupata uteuzi.
Mazingira ya dunia ya sasa huwezi kukwepa kuwa na ndege. Kama unafunguka kadri dunia inavyofunguka huwezi kuukwepa usafiri wa anga...Na Jpm aliwaulizs Watz kama wanahitaji midege toka kwa mabeberu?
Mazingira ya dunia ya sasa huwezi kukwepa kuwa na ndege. Kama unafunguka kadri dunia inavyofunguka huwezi kuukwepa usafiri wa anga.
Ukiwa na mawazo ya uoga ya kutojiamini unaweza usielewe ni kwanini ndege hizi ni muhimu.
Hatari snUfinyu wa akili
Hata kama ndege ni lazima, si lazima ndege ziwe za serikali.Mazingira ya dunia ya sasa huwezi kukwepa kuwa na ndege. Kama unafunguka kadri dunia inavyofunguka huwezi kuukwepa usafiri wa anga.
Ukiwa na mawazo ya uoga ya kutojiamini unaweza usielewe ni kwanini ndege hizi ni muhimu.
Hata kama ndege ni lazima, si lazima ndege ziwe za serikali.
Marekani hawana shirika la ndege la serikali linalofanya biashara ya usafiri wa ndege, na nchi yao inakwenda vizuri tu. Na hawa ndio waliogundua usafiri wa ndege, ndio wanaotengeneza ndege kubwa za Boeing.
Biashara ya ndege ina risk kubwa sana, na watu wa serikali kikawaida hawajui kujuendesha kwa ufanisi kibiashara, na pale wanapojua, serikali ina michakato yenye ukiritimba mwingi ambao haufai kwenye biashara. Serikali ingeweka mazingira mazuri kwa mashirika binafsi kufanya biashara. Mashirika binafsi yafanye biashara. Tulishaanza hili vizuri.
Lakini kwetu sisi, serikali ndiyo imeshiriki kuua mashirika ya ndege ya binafsi kama Precision.
Na hata hilo shirika la ndege la serikali haliachwi lijiendeshe kwa uhuru kibiashara, linaingiliwa sana kisiasa na serikali.
No wonder linatengeneza hasara year in, year out.
At this point kwa ATC, serikali inaweza kufanya PPP (Public Private Partnership), watu wa sekta binafsi wakaendesha shirika, wakati serikali inakuwa na share tu na ina regulate.Naomba kukazia hoja.
Kwakuwa tayari tumeshaingia mkenge wa kununua Ndege,nashauri Serekali kualika watu binafsi kuongeza mtaji na uendeshaji wa ATCL.
Serekali nyingi duniani zimeshajiondoa katika kufanya biashara sana sana wanaweza kubakisha hisa chache tu.
Kuelewa faida za atcl ni shule pana sana. Kuelewa uhusiano wa Royal Tour na nchi kuwa na ndege zake yenyewe ni maono yanayokwenda pamoja na elimu pana ya darasani...ujasiri wa kuiingiza nchi ktk mradi unaotia HASARA haufai.
..Atcl inatutia hasara kila mwaka. Fedha tulizotumia kununua ndege zingeweza kufanya mambo mengine yenye tija na faida.