[emoji23] [emoji23] [emoji23] napenda kuchukua nafasi hii kukutaka RADHI mkuu afande kifimbo kwa kuitafsiri vibaya avatar yako tata[emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji144] [emoji125] [emoji125]astakfu5678407 mkuu nitake radhi ......au nawe umeshtua bangi,JF hii bana
mkuu usijali apology accepted, tupo pamoja , si unajua JF bhana ndio kituo chetu au kijiwe chetu cha kujiachia na vitu fake fake na ukweli kiaina.....na AVATAR ZA KIPEKEE[emoji23] [emoji23] [emoji23] napenda kuchukua nafasi hii kukutaka RADHI mkuu afande kifimbo kwa kuitafsiri vibaya avatar yako tata[emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji144] [emoji125] [emoji125]
Hatareeee sana!mtakufa kwa presha kufwatilia mambo ya watu... by the way sipendi mwanaume kujipamba kama mwanamke. but i have no problem with homosexuallity.
Acha udwanzi kijanamtakufa kwa presha kufwatilia mambo ya watu... by the way sipendi mwanaume kujipamba kama mwanamke. but i have no problem with homosexuallity.
Wanaume tu wachache sa hiviDressing table za vijana wa kiume zimejaa vipodozi vya kike
What site is this my brother is this true existing in our beloved Tanzania
Laana kubwa hii!!!
What site is this my brother is this true existing in our beloved Tanzania
Laana kubwa hii!!!
We ni Wale ambao sio riski, kwa unatetea dhabi kuu?Those are conspiracy theories my friend.
It is true that the world population is growing and at a very alarming rate. Only a fool doesn't know that world Population is growing while the world resources are dwindling. And this is threatening the existence of mankind. Take a closer look at the effects of such population to our planet. This needs to be controlled. It is not because America or the west is afraid to be one day ruled by Africans but it is because unlike you there are people who are concerned about our planet and are implementing countermeasures to curb the problem.
Yaani Mungu atusaidie sana katika malezi ya watoto wetuYani hapa naona wengi wanafikiri mashoga ni wale wanaojipamba pamba tu hata kuna wanaume wengine wazuri kabisa wapo very smart na wengine wanafamilia wameoa wana watoto lakn wanapakuliwa daily na tunawajua tunawanyamazia tu. Tena wengine wasumbufu balaaaa. Hili tatizo lipo na linazidi kuikumba hii jamii yetu kinachotakiwa tuomber watoto wetu, tuongee na watoto wetu, tuwalinde watoto wetu, angalia cartoons na filamu wanazoangalia watoto wetu kama zina maadili mqana nyingine zinahamasisha ushoga, chunguza marafiki wa mtoto wako na urafiki wao ni wa aina gani, usimuache mtoto akawa anaongozana sana na watu waliomzidi umri, na kulala mara na houseboy, baba mdogo, uncle, sijui kaka yake na bibi hao ndugu ni heri walale Sitting room mtoto alale chumbani na kubwa zaidi Mfanye mtoto awe rafiki yako awe huru kukuambia kitu chochote.