Yani hapa naona wengi wanafikiri mashoga ni wale wanaojipamba pamba tu hata kuna wanaume wengine wazuri kabisa wapo very smart na wengine wanafamilia wameoa wana watoto lakn wanapakuliwa daily na tunawajua tunawanyamazia tu. Tena wengine wasumbufu balaaaa. Hili tatizo lipo na linazidi kuikumba hii jamii yetu kinachotakiwa tuomber watoto wetu, tuongee na watoto wetu, tuwalinde watoto wetu, angalia cartoons na filamu wanazoangalia watoto wetu kama zina maadili mqana nyingine zinahamasisha ushoga, chunguza marafiki wa mtoto wako na urafiki wao ni wa aina gani, usimuache mtoto akawa anaongozana sana na watu waliomzidi umri, na kulala mara na houseboy, baba mdogo, uncle, sijui kaka yake na bibi hao ndugu ni heri walale Sitting room mtoto alale chumbani na kubwa zaidi Mfanye mtoto awe rafiki yako awe huru kukuambia kitu chochote.