Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

[emoji23] [emoji23] [emoji23] napenda kuchukua nafasi hii kukutaka RADHI mkuu afande kifimbo kwa kuitafsiri vibaya avatar yako tata[emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji144] [emoji125] [emoji125]
mkuu usijali apology accepted, tupo pamoja , si unajua JF bhana ndio kituo chetu au kijiwe chetu cha kujiachia na vitu fake fake na ukweli kiaina.....na AVATAR ZA KIPEKEE
 
Dressing table za vijana wa kiume zimejaa vipodozi vya kike
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
mtakufa kwa presha kufwatilia mambo ya watu... by the way sipendi mwanaume kujipamba kama mwanamke. but i have no problem with homosexuallity.
Hatareeee sana!
Mwenyezi Mungu atuhurumue hakyanani!!!!
Hili la kutofuatilia mambo ya kishenzi yanayofanyika mtaani limechangia sana kutufikisha hapa tulipo. Mtoto wa jirani anaanza vitabia vya kipuuzi tunamwangalia tu mpaka inafika hatua wengine wanaiga.
Uswahili hili limekuwa janga kubwa sana. Ni huruma sana.
 
7caa09a35b7b796a02948b4dc9b6ef84.jpg

Laana kubwa hii!!!
What site is this my brother is this true existing in our beloved Tanzania
 
Those are conspiracy theories my friend.
It is true that the world population is growing and at a very alarming rate. Only a fool doesn't know that world Population is growing while the world resources are dwindling. And this is threatening the existence of mankind. Take a closer look at the effects of such population to our planet. This needs to be controlled. It is not because America or the west is afraid to be one day ruled by Africans but it is because unlike you there are people who are concerned about our planet and are implementing countermeasures to curb the problem.
We ni Wale ambao sio riski, kwa unatetea dhabi kuu?
 
Yani hapa naona wengi wanafikiri mashoga ni wale wanaojipamba pamba tu hata kuna wanaume wengine wazuri kabisa wapo very smart na wengine wanafamilia wameoa wana watoto lakn wanapakuliwa daily na tunawajua tunawanyamazia tu. Tena wengine wasumbufu balaaaa. Hili tatizo lipo na linazidi kuikumba hii jamii yetu kinachotakiwa tuomber watoto wetu, tuongee na watoto wetu, tuwalinde watoto wetu, angalia cartoons na filamu wanazoangalia watoto wetu kama zina maadili mqana nyingine zinahamasisha ushoga, chunguza marafiki wa mtoto wako na urafiki wao ni wa aina gani, usimuache mtoto akawa anaongozana sana na watu waliomzidi umri, na kulala mara na houseboy, baba mdogo, uncle, sijui kaka yake na bibi hao ndugu ni heri walale Sitting room mtoto alale chumbani na kubwa zaidi Mfanye mtoto awe rafiki yako awe huru kukuambia kitu chochote.
 
Yaani Mungu atusaidie sana katika malezi ya watoto wetu
 
Vijana wa siku hizi anavaa skin jeans haina tofauti na dada yake eti ndio fashion unategemea nn? hiv vitu vya ulaya magharibi na USA sio vya kuiga kila kitu.
 
Back
Top Bottom