Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
you always put your blames on white men, why?
kuna mzungu aliyewalazimisha mfanye/wafanye hivyo?
kila binadamu ana utashi.
so if you choose to imitate something usimlaumu mwingine.
Ukipenda chongo utaona kengeza
maajabu si kidogo! wazungu wanalaumiwa kwa swala la ushoga! ni sawa na walabya na wale waarabu wanapowalalamikia wazungu kwa kuwachonganisha wao kwa wao na kuzusha vita.
ina maana tumishikwa akili na wazungu?
hatuwezi kubaini lolote lile?
msiwalaumu wazungu kwa upumbavu wenu.
mashoga mnaishi nao humo vyumbani tangu wanakua leo hii lofa mmoja anawakurupukia wazungu.
how absurd!!!.
Duu mbona reaction imekuwa kubwa kiasi hiki?Hahahaa wewe ni lipumbavu kabisa na uko juha kama jiwe.
Wazungu na ushoga wanahusiana nini?
Kuna sehemu hapa duniani ambako ushoga haupo?
Na tukianza kukulaumu wewe humu kwa kutuwekea hayo mapicha yako ya kishoga utafurahi?
You are totally out of it. Way in over your head.
Duu mbona reaction imekuwa kubwa kiasi hiki?
Hio ni Documentary ya huko Jamaica Vijana wadogo wakifanya kazi ya ushoga..Tena walionyeshwa mahali wanapokaa kwenye madaraja makubwa(culvert)..Inasikitisha sana..kuna baadhi ya jamii haiwakubali ndio maana wanakaa kwenye maculvert..Usiku wakienda kwenye biashara huwa wanaambulia visu na vipigo kutoka kwa baadhi ya wateja..
Wengine hawakupenda lakini ndio maisha yamewasukuma kufanya hiyo kazi na wako wa kutosha..
Mmh mbona unajaribu kuua mbu kwa rungu?Hakuna ukubwa wowote.
Ni maruerue yako tu na upumbavu wako ndo unaokusumbua.
Hao wazungu walikuja kukulazimisha uwe shoga? Ulishikiwa bunduki uwe shoga la sivyo utafumuliwa komwe?
Come on dude.
Eti kuna kale kausemi ka siku nyingi sana "Ukijambaa mbele ya mzungu atakupa hela"Hata kujamba atawasingizia wazungu huyo.
Hahahaaa....kosa vyote lakini si akili aisee.
Mmh mbona unajaribu kuua mbu kwa rungu?
Sizani wazungu wanahusika hapo..Hayo ni maisha tuSasa kama ni hivyo, wazungu wanahusikaje hapo?
who am i? Do you really need to know? After failling to discuss issues you are now hoping from one topic to another? You want me to follow you to the new topic? Even there you will just be thwarted. Enjoy a sound sleep and pass a message to those dirty stinking skunks that they are hanging on a very thin thread.
Eti kuna kale kausemi ka siku nyingi sana "Ukijambaa mbele ya mzungu atakupa hela"
Kumbe ni kukosa akili ya kufikiri..
wazungu tunawasingizia bure apo
Sawa ni haki ya mtu kupenda, sasa je mtu akipenda akupumulie wewe? Utakubali maana ukikataa tayari utakuwa umemnyima haki mwenzakoHaki ya kupenda na kupendwa ni haki ya msingi kwa kila binaadamu na hauwezi kumuamulia mtu kupenda unayetaka wewe.
Wewe umeamua kumpenda mke wako au mume wako sawa kabisa na Hilo mwingine halimhusu na mwingine naye akiamua kumpenda mwenzake wa jinsia moja wewe inakihusu nini? Au unapungukiwa na kitu? Waache wapendane. Na hata hao wazungu unaosema wameharibu vijana kuna mtu kalazimishwa kupenda jinsia yake ? Kuna mafunzo wanatoa au zawadi wanatoa ili kutusurutisha kupenda jinsia moja?? Hapana. Kila mtu kaamua kumpenda na kupendana na anayeona inamfaa.
Haya kama umemaliza Chapa lapa manake umekuja na spidi 180 mahali pasipohitaji hata spidi 20Najaribu kukuonyesha tu ulivyo mpumbavu.
Nothing more, nothing less.