Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
you always put your blames on white men, why?
kuna mzungu aliyewalazimisha mfanye/wafanye hivyo?
kila binadamu ana utashi.
so if you choose to imitate something usimlaumu mwingine.
Touche!
Halafu watu wanafiki sana.
Ushoga mbona upo siku zote tu huku Afrika...sasa iweje walaumiwe Wazungu?
Watu wengine bana.