Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Definitely sababu haikuwa our first priority.Kaka kwa nini sisi hatukuwapiga ao watu weupe ilo bomu.
Unachukiza kujidharau mwenyewe na hilo unawarithisha watoto wako. Toka huko! Hutukanwi unaambiwa ukweli. Mindset zipi first class ipi? Kuna mind first class? Ndio ikoje? Jiamini. Acha kujidharau na kujiona second class citizen kwa kumuweka mzungu mbele. Watu wote wako sawa.Matusi ya nini?
Umeshindwa kujadili hoja kiungwana hadi unifukane?, Nimekutukana sehemu yoyote ? Hizi ndio mindsets tunategemea tuwe first class , kwamba ukiishiwa hoja ulazimishe kwa matusi?
Please tusiendelee , for the sake of both worlds
Umeshinda weye!!
Asiri=AsiliUnajua asiri ya wamarekani ww?
Sahihi kabisa,Baba wa Steve jobs ni mwarabu anaitwa Abdulfatah al jandali,aliyezaliwa Homs Syria.Steve Jobs ni mwarabu
Nakubaliana na hili piaKuna researcher mmoja anaitwa Margaret Mead, aliishi Samoa kwa miaka 10, alijifunza Mila na desturi. Conclusion ya research yake aligundua kuwa binadamu wote ni sawa. Tofauti zetu zinatokana na mazingira tunayokulia.
A level ndiyo mtoto anabaki na masomo matatu. Akili ya mtoto anapofikisha miaka 5 Ina uwezo wa kunasa na kuhifadhi information nyingi sana. Hata lugha ya ziada ni muhimu kumfundisha mtoto kabla hajafika miaka nane hapa anaweza kumudu pronunciations.Nakubaliana na hili pia
Mwanangu wa miaka 9 leo anaenda shule akiwa amebeba madaftari 8, akifanikiwa kufika A level itabidi aendelee na masomo 3 tu, kwa nini system inamfubaza mtoto huyu kwa kumsomesha masomo ambayo hatakuja kuyatumia huko mbele? , Hivi mtoto huyu anaweza kuja kushindana na wenzake ambao wamespecialize toka wakiwa wadogo, ?
Huwa najiuliza sana na hili najua watu wengi hawalijui.Hawa ni moja ya watu waliotumia akili na maarifa kugundua vitu:
1. Isaack Newton
2. Albert Einstein
3. Stive Jobs
4. Eric Yuan
5. Sergey Brin na Larry Page
Hawa ni moja ya waafrika (black) waliovunja rekodi za dunia kwa vipaji vyao.
1. Edison Arantes do Nascimento[Pele] kwenye (mchawi wa soka)
2. Michael Jackson (mfalme wa pop) (music)
3. Michael Jordan (kikapu)
4. Muhammed Ali (ngumi)
5.......
Kwenye suala la vipaji kuvunja rekodi basi Waafrika tuna vipaji vya kuzaliwa na nguvu sana.
Ulishawahi kufanya uchunguzi kwenye vitu hivi?
Wewe jambo gani alilofanya Newton lina ukweli na umeliona na ukalihakiki kuwa ni kweli au Einstein ?Ndugu yang waswahili tunasema "mla mla leo, mla jana kala nini" hiyo uliyosema ni historia tu hakuna aliekuwepo, lkn jamaa mwenye uzi kaja na fact za majina ya watu ambao wamefanya mambo tulio yaona au tunayoendelea kuyaona. Angalizo... I'm not hating Africans cause i'm also African, but here we need the facts.
Unachukiza kujidharau mwenyewe na hilo unawarithisha watoto wako. Toka huko! Hutukanwi unaambiwa ukweli. Mindset zipi first class ipi? Kuna mind first class? Ndio ikoje? Jiamini. Acha kujidharau na kujiona second class citizen kwa kumuweka mzungu mbele. Watu wote wako sawa.
Huoni kuna utofauti mpaka hapo? Hii platform unayosemea huduma na muundo umetoka wap?😁😁 Yan ww jamaa bana. Kila kitu matengeneza mzungu, haya ww mwenye akili umetengeneza nini?Max amevumbua hii platform angefanya makubwa kiasi gani kama yeye na Mark wangekuwa kwenye mazingira sawa
Mzungu ni nani na unahakikishaje huyu ni mzungu?Hawa ni moja ya watu waliotumia akili na maarifa kugundua vitu:
1. Isaack Newton
2. Albert Einstein
3. Stive Jobs
4. Eric Yuan
5. Sergey Brin na Larry Page
Hawa ni moja ya waafrika (black) waliovunja rekodi za dunia kwa vipaji vyao.
1. Edison Arantes do Nascimento[Pele] kwenye (mchawi wa soka)
2. Michael Jackson (mfalme wa pop) (music)
3. Michael Jordan (kikapu)
4. Muhammed Ali (ngumi)
5.......
Kwenye suala la vipaji kuvunja rekodi basi Waafrika tuna vipaji vya kuzaliwa na nguvu sana.
Ulishawahi kufanya uchunguzi kwenye vitu hivi?
Yanayoripotiwa toka Afrika ni uongo kwa hiyo?Ninachokuhakikishia hata ukikataa au kusema kuisha hoja, wewe umeathirika sana na hujiamini sababu tu ni mweusi au ni muafrika. Hilo ndio nimelisema mwanzo kuwa bomu kwenye mind ndio hii sasa. Unatoa mfano wa Mark Zuckerberg, kwanini usiseme Max Mello au sababu huyo wa WhatsApp na Facebook ni tajiri zaidi na ni mzungu? Unajua mazingira ambayo Max amevumbua hii platform angefanya makubwa kiasi gani kama yeye na Mark wangekuwa kwenye mazingira sawa? Internet yenyewe umeijua juzi wewe ndio maana una mtazamo huo. Acha kujidharau wewe ukajiona fala sababu ni mweusi. Unajua nguvu iliyo kwenye machapisho na nani anaamua nini kijulikane nini kisijulikane?
umewahi kujiuliza kwanini global media giants zinaliport mambo mabaya tu kuhusu Africa? Magonjwa, vita, njaa, migogoro isiyoisha na ukimbizi? Hakuna mazuri ya kutangaza? Acha ufala.
Mm nakataa kama ni mazingira. Mbona leo SA haifanani na Tanzania? Wote si tuko Afrika? Kwanini wao wameendelea kuliko sisi? Aya angalia Nigeria na SA ni sawa? Nigeria ina uchumi mkubwa sana pengine kulikl SA ila SA imepangwa vizuri kuliko Nigeria. Mapaka hapo unaamini tuko sawa na wazungu?Hauwezi kuwa na kipaji bila kuwa na akili.
Na bila kuwa na kipaji then akili yako haiwezi kuwa manifested.
Hivyo hao uliowataja wenye akili wote walikuwa na vipaji kwenye wanayofanya.
Na hao uliowataja wenye vipaji wote walikuwa na akili au akili yao iliwekezwa kwenye wanayofanya.
Wewe umeshawahi kujiuliza kwanini watoto wa matajiri wanaosoma international schools wanaonekana wana akili kuliko watoto wa masikini wanaoishi uswahilini na kusoma kayumba?
Conclusion ni hakuna binadamu asiye na akili au kipaji bali mazingira, malezi na tamaduni ndio zinaamua mtu awe na akili au kipaji cha aina gani.
Kwa mindset ya kuamini wewe huna akili na mzungu amekuzidi ni acid inayowatafuna africans wengi.
Btw wao ndio walipandikiza hii acid kwa kutumia myths za dini kipindi cha ukoloni.
ni kama wale africans wanaosema wale nusu waraabu nusu wazungu wanaoishi Israel sasa hivi wana akili kuliko wao.
Just Pathetic.
Hata ukichunguzaHauwezi kuwa na kipaji bila kuwa na akili.
Na bila kuwa na kipaji then akili yako haiwezi kuwa manifested.
Hivyo hao uliowataja wenye akili wote walikuwa na vipaji kwenye wanayofanya.
Na hao uliowataja wenye vipaji wote walikuwa na akili au akili yao iliwekezwa kwenye wanayofanya.
Wewe umeshawahi kujiuliza kwanini watoto wa matajiri wanaosoma international schools wanaonekana wana akili kuliko watoto wa masikini wanaoishi uswahilini na kusoma kayumba?
Conclusion ni hakuna binadamu asiye na akili au kipaji bali mazingira, malezi na tamaduni ndio zinaamua mtu awe na akili au kipaji cha aina gani.
Kwa mindset ya kuamini wewe huna akili na mzungu amekuzidi ni acid inayowatafuna africans wengi.
Btw wao ndio walipandikiza hii acid kwa kutumia myths za dini kipindi cha ukoloni.
ni kama wale africans wanaosema wale nusu waraabu nusu wazungu wanaoishi Israel sasa hivi wana akili kuliko wao.
Just Pathetic.
Shida hapo ni nani sasa? Najua utasema ni system,kama ni system inaongoza na nani? Kwanini huko uzunguni hakuna changamoto za kiboya kama hizi?Mwanangu wa miaka 9 leo anaenda shule akiwa amebeba madaftari 8, akifanikiwa kufika A level itabidi aendelee na masomo 3 tu, kwa nini system inamfubaza mtoto huyu kwa kumsomesha masomo ambayo hatakuja kuyatumia huko mbele
Ningekuwa na uwezo mwanangu nilioendelea a specialize kutoka darasa la kwanza ,A level ndiyo mtoto anabaki na masomo matatu. Akili ya mtoto anapofikisha miaka 5 Ina uwezo wa kunasa na kuhifadhi information nyingi sana. Hata lugha ya ziada ni muhimu kumfundisha mtoto kabla hajafika miaka nane hapa anaweza kumudu pronunciations.
Kama mtoto anaanza darasa la kwanza na miaka mitano-saba uwezo wa kumudu masomo anao lakini ni muhimu kama mzazi kugundua kipaji chake mapema ba kumsaidia kupata combination ya uwezo wake.
Kidoogo hii comment imekuja na hoja sahihi. Mkuu hapa nipo na wwHata ukichunguza
-Islamic golden Age kipindi ambacho nchi za kiarabu na baadhi za North na west Africa Vumbuzi nyingi zilifanyika maeneo hayo kuliko sehemu nyengine duniani.
-kabla ya Hapo kulikuwa na Empire 4 kubwa Aksum (Ethiopia), China, Persia (Iran) na Roma. Vumbuzi nyingi zilifanyika kwenye hizi nchi kuliko mahala popote duniani.
Vumbuzi zinaenda sambamba na hela, jamii inayokuzunguka, elimu etc na hazina mahusiano yoyote na Rangi, kabila, uzuri, etc.
Hii wanafanya China, kuna sports Academy. Wanachukua watoto wa miaka mitano wanawafundisha michezo na mazoezi. Watoto hawa wakifika miaka 14 wanakua kwenye viwango vya kimataifa.Ningekuwa na uwezo mwanangu nilioendelea a specialize kutoka darasa la kwanza ,