Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Computer is a work of all races alisikika mrusi mmoja.Hao jamaa wana IQ ndogo na bado tunatumia vitu vyao hata kuwasiliana...shabash...computer na simu tunazotumia kupost mada humu za watu wa IQ ndogo
Kwenye kampuni zinazounda hivyo vitu research zinafanywa na watu wa mataifa tofauti walioajiliwa pale.
Mfano mwingine ni kwamba Manhatan project ilihusisha races tofauti waliounda team.
Teknolojia nyingi ni ushirika wa dunia, bila ushirikiano na kutumia watu wenye akili wa mataifa tofauti teknolojia za ulaya zisingefika hapo.
Mfano mwingine, space technology nguli wa hio teknolijia ni mchina ambae alifanya jazi NASA baadae akarudi jwa china na kuisaidia China kuweza kuinua hio teknolojia.
Wewe jana unaamini kika teknolojia wameikuza wazungu peke yao basi ni wewe kama wewe oka ikweli haupo hivyo, jitahidi kusoma ili ujue.
Mwanayansi mmoja anaitwa Michio kaku aliwahi sema" the weapon of USA is brain drain and scholarship"
Alisema siku Amerika ikiacha brain drain ndio utakuwa mwisho wake.
Nchi nyingi za ulaya mbinu yao ni kutoa scholarship kwa third world countries ili wavune akili zao, vile vile wanatoa ursia kwa watu potential.
Kama wana akili sana kwa nini watumie watu wa ulimwengu wa tatu?