Wazungu wana IQ ndogo sana

Wazungu wana IQ ndogo sana

African Education System has surprising outcomes. The smartest students pass with 1st Class & get admission to medical & Engineering schools. The 2nd Class Students get MBAS and LLBs to manage the First Class students. The 3rd Class Students enter politics, and rule both 1st and 2nd Class students. The failures join the Army and control politicians who, if they are not happy with, they kick or kill them..... Best of all those who did not attend any school, become prophets & witch doctors, and everybody follows them. ROBERT MUGABE
 
Wasalaam wana JF

Nikitafakari namna mgogoro wa Urusi na Ukraine ulivyokuwa handled na madhara ambayo wanayapata kwa kujitakia. Ninashawishika bila shaka yoyote kuamini hawa watu wana IQ ndogo sana.

Kipimo cha akili ya mwanadamu ni namna anavyokabiliana na mazingira yake ikiwa ni pamoja na kutatua migogoro kwa akili. Huwezi kumuua mbu kwenye korodani kwa kutumia nyundo.

Mpaka sasa hawa watu wameithibitishia dunia hawana akili na yote wanayo propagated kuhusu watu weusi ni propaganda za chuki zinazoongozwa na insecurities zao

Tusimame pamoja waafrika, hao watu hawana akili na watatuletea madhila makubwa jinsi mambo yanavyoenda.
Hizo vita huwa zinadizainiwa na masterminders wa dunia ma illuminati., Hizo mambo huratibiwa kuzimu, mashetani wanakunywa damu na kuchukua roho za watu. These things are spiritual rather than physical!

YESU KRISTO ni BWANA na MWOKOZI
 
Uko kiimani zaidi
 
African Education System has surprising outcomes. The smartest students pass with 1st Class & get admission to medical & Engineering schools. The 2nd Class Students get MBAS and LLBs to manage the First Class students. The 3rd Class Students enter politics, and rule both 1st and 2nd Class students. The failures join the Army and control politicians who, if they are not happy with, they kick or kill them..... Best of all those who did not attend any school, become prophets & witch doctors, and everybody follows them. ROBERT MUGABE
Haaahaaa we jamaa🙌🙌
 
Uko kiimani zaidi
Mkuu, nikuhakikishie kuwa kila jambo unaliliona katika ulimwengu huu wa damu na nyama lina asili ya ulimwengu wa roho. Kila jambo huanzia kule!!!! Liwe zuri, liwe baya yote huanzia ulimwengu wa rohoni, eidha nuruni (upande wa Mungu) ama gizani (upande wa ibilisi aitwaye shetani)

Bwana Yesu ni Mwokozi
 
Wenzako waliokoka wakachoka sasa hivi wanakunywa konyagi
 
Ajabu sana wanaokuoa waovu, kwa maana ya vita, ubaguzi, wizi, utapeli, uongo, uuwaji, kufuru na kila aina ya ujuha ndio wanaonekana wana akili kubwa, hiyo kuunda vitu sio kama ni hoja kubwa, mengi waliounda ingefika wakati tu yangegunduliwa, kwani wao waliishi mikarne mingapi wakiwa bila kugundua hivyo vitu. sio ya muhimu kivile, kipimo ni simple life style ya mababu na sisi leo nani aliishi kwa amani na furaha.
 
Wewe mwenye Iq kubwa umeachieve nini mpaka sasa hivi ,au umecontribute to human development and well being mpaka sasa ?
 
Wasalaam wana JF

Nikitafakari namna mgogoro wa Urusi na Ukraine ulivyokuwa handled na madhara ambayo wanayapata kwa kujitakia. Ninashawishika bila shaka yoyote kuamini hawa watu wana IQ ndogo sana.

Kipimo cha akili ya mwanadamu ni namna anavyokabiliana na mazingira yake ikiwa ni pamoja na kutatua migogoro kwa akili. Huwezi kumuua mbu kwenye korodani kwa kutumia nyundo.

Mpaka sasa hawa watu wameithibitishia dunia hawana akili na yote wanayo propagated kuhusu watu weusi ni propaganda za chuki zinazoongozwa na insecurities zao.

Tusimame pamoja waafrika, hao watu hawana akili na watatuletea madhila makubwa jinsi mambo yanavyoenda.
Wewe mwenye Iq kubwa umeachieve nini mpaka sasa hivi ,au umecontribute nini to human development and well being mpaka sasa.
Nyie wapuuz mnaojengewa mpaka vyoo ,good for nothing bunch of people
 
Wewe syo bure, wazungu wanasugua makalio yako
 
Wasalaam wana JF

Nikitafakari namna mgogoro wa Urusi na Ukraine ulivyokuwa handled na madhara ambayo wanayapata kwa kujitakia. Ninashawishika bila shaka yoyote kuamini hawa watu wana IQ ndogo sana.

Kipimo cha akili ya mwanadamu ni namna anavyokabiliana na mazingira yake ikiwa ni pamoja na kutatua migogoro kwa akili. Huwezi kumuua mbu kwenye korodani kwa kutumia nyundo.

Mpaka sasa hawa watu wameithibitishia dunia hawana akili na yote wanayo propagated kuhusu watu weusi ni propaganda za chuki zinazoongozwa na insecurities zao.

Tusimame pamoja waafrika, hao watu hawana akili na watatuletea madhila makubwa jinsi mambo yanavyoenda.
hao watu achana nao aisee kubali kutawaliwa tu na itakuwa hivyo milele yote yaani ulichokiandika ni upumbavu mtupu maana hata nguo ulizovaa leo umezitoa kwa mzungu japo mchina ndio kakuuzia.
 
Wewe syo bure, wazungu wanasugua makalio yako
Get this into your stinking ugly pussy
IMG_20220831_134836.jpg
 
Back
Top Bottom