FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hivi kondoo wa kigagagigikoko wangapi qanaoweza kununuwa "tishu" za chooni kila siku?Jifunze kuishi na watu kwa kuheshimu au kuwaacha waishi watakavyo ilimradi hawavunji sheria za nchi.Itakusaidia uzeeke bila sonona.