Wazungu/West wako mbali sana, wamefikia hadi kwenye supu ya box/kopo!

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Magharibi wana supu zilizofungashwa kwenye box na makopo kama juice! Yani unanunua supu unaenda kupasha tu unakunywa, hakuna haja ya kupoteza muda kuchemsha nyama masaa ukitafuta supu.


 
Achana na hao, wajapan wanakifungashio cha noodles, unanunua noodles zilizoshapikwa, unavuta sehemu inatokea chemical reaction kwenye kifungashio noodles zinaanza kupata moto kama vile ndo zimepikwa.
 
Wapo mbali kwenye kula sumu na vyakula vya Makopo?

Mtazamo wako unashangaa kwakweli
Nani kakuambia vyakula vya kopo vina sumu?? Mbona huko wanakoishi kwa hivyo vyakula vya makopo ndio wana life expectancy kubwa zaidi? Kama ni sumu kwa nini wastani wao wa maisha ni mkubwa sana kutuzidi sisi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…