Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha ajabu ni pale graduate anapobeba dell la barafu za ukwaju za mtu. Zamani dell la barafu walibeba drs 7.Azam, Mo, Asas na Jambo wanatajirika kila siku kwa kutuuzia juice, mikate, maandazi na maziwa ya viwandani.
Ugali wa lowe huo, hata kigoma upo ila kuula unahitaji mazoea. Hata mimi najua kuutengeneza.Hapo Rwanda na Burundi tu mbona wana ugali wa kopo supermarket ! Yaani unakutana na ugali wako wa bariiidi. Mamaeeee! 😂🤣
Ndio Kusema hujawahi kuingia shoprite, game au Super market kubwa Bongo? Mbona hizi supu fleva zipo?Magharibi wana supu zilizofungashwa kwenye box na makopo kama juice! Yani unanunua supu unaenda kupasha tu unakunywa, hakuna haja ya kupoteza muda kuchemsha nyama masaa ukitafuta supu.
View attachment 3158974
View attachment 3158975
View attachment 3158976
Kwa nini wewe usitumie hiyo fursa kuwauzisha hizo barafu?Cha ajabu ni pale graduate anapobeba dell la barafu za ukwaju za mtu. Zamani dell la barafu walibeba drs 7.
Graduate kakosa akili ya kununua dell na kugandisha ukwaju !
Wamevishwa mikofia wanajiona wameajiriwa kumbe wanamuuzia ukwaju kwa cheap salary.
Graduate tengenezeni barafu zenu hamna cha maana kwenye barafu cha kukushinda kugandisha barafu
Vile vifungashio ni nailoni tu. Yaani waafrika hatuna akili hadi aibu. Muhindi akuuzishe barafu kweli !!!???
Watetezi wa utumwa huwa hamkosekani hata mkiamshwa mnatamani muendelee kulala. Endeleeni kubeba madel.Kwa nini wewe usitumie hiyo fursa kuwauzisha hizo barafu?
Ndiyo hapo sasa. Na taifa letu lina nguvu kazi kubwa ambayo haitumiki. Unakuta mpaka nazi watu wanadhani zile za paketi ndiyo nzuri na wanaachana na za kuta wenyewe.Azam, Mo, Asas na Jambo wanatajirika kila siku kwa kutuuzia juice, mikate, maandazi na maziwa ya viwandani.
Safi sana Kiongozi. Huo ugali niliula nikiwa Burundi na niliuzoea.Ugali wa lowe huo, hata kigoma upo ila kuula unahitaji mazoea. Hata mimi najua kuutengeneza.
Mbona siku hizi wanawake wazima wengi wana vitambi, flat tummy za kutafuta na tochi, hilo sio tatizo??Hakika, maana unaweza kula hayo manyama ya kopo baadaye unajikuta Mwanaume mzima unaota matiti
Wazungu wakiamua lao hawashindwi kitu
Hilo tatizo lipo sana kwenye jamii zetuMbona siku hizi wanawake wazima wengi wana vitambi, flat tummy za kutafuta na tochi, hilo sio tatizo??