HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Watz twaongoza kula sumu na uchafu,ukitaka amini tembelea masoko yote Tanzania.Tena unalimwa katika mabonde ya mavi na maji taka huko mkwajuni,Kigogo,Riverside n.k
Ndo maana mboga zetu ziendazo Ulaya zinalimwa green house, ambapo wanazuia wadudu.