Wazungu/West wako mbali sana, wamefikia hadi kwenye supu ya box/kopo!

Wazungu/West wako mbali sana, wamefikia hadi kwenye supu ya box/kopo!

Amini wako mbali sana tena wanakula fresh foods ndio maana life span Yao ni kubwa hasa Japan na US na China pia
Wachina,wajapan wanakula vyakula natural sana hayo ya kwenye makopo hawafagili labda wazungu
 
Na ndio Kansa inawatafuna balaa, laiti Waafrika mngejua utajiri wa vyakula vya asili mlivyokua navyo msingejibeza,
Kawaulize gharama za organic food halafu angalia wewe organic food unaipata shambani kwako tu,

Exposure, Exposure, Exposure
 
Hata wazungu wengi sana wanakula natural tena wengi mno ndio maana kwa KFC na macdonald sio migahawa ya watu wenye kipato Bali maskini
20241123_072047.jpg
 
Na ndio Kansa inawatafuna balaa, laiti Waafrika mngejua utajiri wa vyakula vya asili mlivyokua navyo msingejibeza,
Kawaulize gharama za organic food halafu angalia wewe organic food unaipata shambani kwako tu,

Exposure, Exposure, Exposure
Labda 3% ya Waafrika ndio wanakula organic food, 97% waliobaki wote wanakula vyakula vilivyokuzwa kwa chemicals mbalimbali, mbaya zaidi Afrrica hakuna ufuatiliaji wa vyakula vilivyozalishwa kujua wakulima wametumia dawa kiasi gani na kwa usahihi gani. Tatizo wengi hawajui maana ya organic food.
 
Lakini huko wana tatizo kubwa la Obesity
Nani kakuambia vyakula vya kopo vina sumu?? Mbona huko wanakoishi kwa hivyo vyakula vya makopo ndio wana life expectancy kubwa zaidi? Kama ni sumu kwa nini wastani wao wa maisha ni mkubwa sana kutuzidi sisi??
 
Masikini muda wote huona maendeleo ni sumu au dhambi kwake.
Hao wenzetu vyakula vyao hupitia katika usafi wa hali ya juu sana na hukagukiwa mara kwa mara.

Hap kwetu mchicha unapgwa dawa leo,kesho uko sokoni
 
Achana na hao, wajapan wanakifungashio cha noodles, unanunua noodles zilizoshapikwa, unavuta sehemu inatokea chemical reaction kwenye kifungashio noodles zinaanza kupata moto kama vile ndo zimepikwa.
Pia Canada wanapika wali na kufungasha ikipita dakika mbili uko mezani na white beans za kopo unaendelea na majukumu
 
Back
Top Bottom