Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Mbona tulipitia huko enzi za Tanganyika Packers kabla ya CCM kuona uponyaji wa akina Mwamposa unaokoa pesa za kigeni hivyo wakakifunga kiwanda.Magharibi wana supu zilizofungashwa kwenye box na makopo kama juice! Yani unanunua supu unaenda kupasha tu unakunywa, hakuna haja ya kupoteza muda kuchemsha nyama masaa ukitafuta supu.
View attachment 3158974
View attachment 3158975
View attachment 3158976