Wazungu/West wako mbali sana, wamefikia hadi kwenye supu ya box/kopo!

Amini wako mbali sana tena wanakula fresh foods ndio maana life span Yao ni kubwa hasa Japan na US na China pia
Hivi uanjua US ni taifa dhaifu sana kwa upande wa afya za watu wake, obesity ni janga kubwa kwao.

Unajua ni makampuni mangapi ya vyakula kutokea USA yamepigwa marufuku kufanya biashara katika mataifa mengine?
 
Magharibi wana supu zilizofungashwa kwenye box na makopo kama juice! Yani unanunua supu unaenda kupasha tu unakunywa, hakuna haja ya kupoteza muda kuchemsha nyama masaa ukitafuta supu.
View attachment 3158974
View attachment 3158975
View attachment 3158976
Mbona jambo la kawaida Sana hili? One minute food zipo dunia nzima wala sio kitu cha kushangaza na havijaanza leo ama jana.

Japan wana package ambazo zina pasha moto zenyewe, we nunua kuna uzi unavuta, chakula kina malizia kujipika unakula chakula cha Moto. Kwangu mimi hiki kipo advance zaidi.
 
Hivi uanjua US ni taifa dhaifu sana kwa upande wa afya za watu wake, obesity ni janga kubwa kwao.

Unajua ni makampuni mangapi ya vyakula kutokea USA yamepigwa marufuku kufanya biashara katika mataifa mengine?
Wewe acha porojo zako, hata bongo kuna raia wengi sana wenye obesity kwa kushindia kula wali, sembe, soda, vitumbua na chips mayai.
 
Magharibi wana supu zilizofungashwa kwenye box na makopo kama juice! Yani unanunua supu unaenda kupasha tu unakunywa, hakuna haja ya kupoteza muda kuchemsha nyama masaa ukitafuta supu.
View attachment 3158974
View attachment 3158975
View attachment 3158976
Vyakula vya hovyo kabisa.

Kama unaweza kupata nyama imechinjwa leo na kupikwa leo ukala unaenda kuhangaika na chakula kimekaa kwenye makabati miezi kadhaa.

Hayo waachieni wao na staili yao ya maisha
 
Shida ya vya kula vya huko havina laza asilia kama ni supu ya kuku unakuta Haina laza ya asilia ya kuku au ni ngombe unakuta Haina laza ya asilia ya ngombe Kuna dada zangu wako marekani wananiambia kuhusu hayo mambo na wakija bongo huwa wanasema. Wana furaia vya kula na kama ni nyama wanakula haswa nyama maisha ya huko kama hujayazoea utapata shida sana
 
Hayo mambo ya ladha asilia ni myths na mozoea tu, hata watu wengi wa West wakija huku huwa wanaona ugali ni chakula kisicho na ladha, dagaa hazipandi, makongoro yana harufu mbaya n.k
 
Hayo mambo ya ladha asilia ni myths na mozea tu, hata watu wengi wa West wakija huku huwa wanaona ugali ni chakula kisicho na ladha, dagaa hazipandi, makongoro yana harufu mbaya n.k
Inategemeana mkuu kwa Amerika wananiambia ukitaka kula kitu fresh kama nyama ya ngombe au ya kuku unatakiwa uwe na pesa asilimia kubwa vya kula vingi ni vya supar market xa makopo lakini uhalisia unachokula sio
 
Back
Top Bottom