WCB Wasafi wamebaki wakiwa..Tatizo ni nini?

Wewe unayesema interviews zote za Guru zipo online kama ulikuwa naye maisha yake yote, utaijua hoja ni ipi na kiroja ni kipi?

Utaanzia wapi kujua tofauti ya hoja na kiroja?


Hivi "hoja" na "kiroja" ndio tulichokua tunabishania?


Interviews zote zipo online.Sio interviews tu,ni movie cameos,studio sessions,entire released discography,live shows,etc.

Mengine hujui,pretender tu wewe!

Muongo mkubwa.

Hoja hujajibu,umebaki kuharisha harisha tu!
 
Unapoandika interviews zote zipo online, zilizofanyika ni ngapi, kuanzia mwaka gani na zilizopo online ni ngapi?

Tulinganishe zilizofanyika na zilizopo online tuone kama namba zinafanana.

Wewe hata jina la 50 Cent tu ulikuwa hujui kuliandika mpaka nilipokufundisha leo, shukurani yako ndiyo kuniambia sijui kitu?
 
S
Shigongo alijaribu akashindwa juzi kareport tukio la Hyatt kauza magazeti kama hana akili kapiga kopi mara mbilimbili WCB ni kama maji tu utayasusia kisa yamesomba mazao yako shambani,wakati huo huo unayahitaji uyanywe na kusafishia mwili wako.....by the way Clouds wanapiga ngoma za wcb kama kawaida tu na wanamtangazia Diamond Karanga kila siku....Don talk myth speak the fact....japokuwa hii hoja yako ningependa ichukuliwe kama ushauri na sio going on act....!!
 
Mimi.wapige.wasipige.zitapigwa.hata bet.mtv
Base.trace na stv.music
 
Weka hiyo link ya interview hapa tuione
 
Weka hiyo link ya interview hapa tuione
Soma thread, usikurupuke. Video sijaiona mwaka jana au juzi. Inawezekana kabisa haipo tena online.

Si kila video inayowekwa online inabaki milele.

Hizi videos ni ma files tu kwenye web servers na watu wengine wakiona habari ni ya zamani wanaziondoa.
 
Nyie mbona mnakua hamna Adabu na thread za watu yaan ndani ya thread ya mwenzenu mmeanzisha mada yenu isiyo na kichwa wala miguu nyambafuuuuu
 
Nyie mbona mnakua hamna Adabu na thread za watu yaan ndani ya thread ya mwenzenu mmeanzisha mada yenu isiyo na kichwa wala miguu nyambafuuuuu
Muulize huyo aliyeanza kuniita mimi muongo bila ushahidi wala sababu.

Akirudishiwa mikuki asione mkuki mtamu kwa nguruwe.

Wahenga walisema akuanzaye mmalize.

In the strets they say don't start nothing, there won't be nothing.
 
Muulize huyo aliyeanza kuniita mimi muongo bila ushahidi wala sababu.

Akirudishiwa mikuki asione mkuki mtamu kwa nguruwe.

Wahenga walisema akuanzaye mmalize.

In the strets they say don't start nothing, there won't be nothing.


Acha kulia kutafuta huruma!

Umesema uongo wa wazi kabisa,hivyo ni sawia kabisa kuitwa MUONGO.Onyesha huo ukweli basi sio unalialia!

Looser!
 
R. I. P Guru this brotha made classics!
Jazzmattaz volumes being my favorite.
 
R. I. P Guru this brotha made classics!
Jazzmattaz volumes being my favorite.
Kuna mtu kaharibu mtiririko mzima wa thread kwa kusema nimedanganya hiyo video haipo, anazijua video zote za interviews zote za Guru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…