byeyombo
JF-Expert Member
- Sep 3, 2015
- 2,647
- 4,184
Nimeambiwa ni msanii wa singeliHii thread ilikuwa nzuri sasa naona habari nyingine kabisa zakina guru sijui ni nani huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeambiwa ni msanii wa singeliHii thread ilikuwa nzuri sasa naona habari nyingine kabisa zakina guru sijui ni nani huyu
Wewe unayesema interviews zote za Guru zipo online kama ulikuwa naye maisha yake yote, utaijua hoja ni ipi na kiroja ni kipi?
Utaanzia wapi kujua tofauti ya hoja na kiroja?
Unapoandika interviews zote zipo online, zilizofanyika ni ngapi, kuanzia mwaka gani na zilizopo online ni ngapi?Hivi "hoja" na "kiroja" ndio tulichokua tunabishania?
Interviews zote zipo online.Sio interviews tu,ni movie cameos,studio sessions,entire released discography,live shows,etc.
Mengine hujui,pretender tu wewe!
Muongo mkubwa.
Hoja hujajibu,umebaki kuharisha harisha tu!
Shigongo alijaribu akashindwa juzi kareport tukio la Hyatt kauza magazeti kama hana akili kapiga kopi mara mbilimbili WCB ni kama maji tu utayasusia kisa yamesomba mazao yako shambani,wakati huo huo unayahitaji uyanywe na kusafishia mwili wako.....by the way Clouds wanapiga ngoma za wcb kama kawaida tu na wanamtangazia Diamond Karanga kila siku....Don talk myth speak the fact....japokuwa hii hoja yako ningependa ichukuliwe kama ushauri na sio going on act....!!Kwa wasiofatilia mambo wanaweza shangaa naposema WCB wamebaki wakiwa. Yes, sababu awajawai toka kwenye public na kukiri haya mambo nayoenda kuyasema hapa.
Ni wazi kama utafanya tafiti yako ya uongo na kweli utagundua media zote kubwa za bongo zimesusa kupiga nyimbo za WCB iwe Tv na Radio.
Mwanzoni WCB walikuwa na mgogoro na EATV lakini kwa sasa unazidi kuenea si Clouds media wala EFm kote awachezi nyimbo za Wcb.
Ata supporters wao wakubwa na wenye ushawishi kwenye mitandao especially tweeter na Instagram wamewapotezea.
Inawezekana yote haya yanatokea sababu watu wanaona kijicho na mafanikio ya Wasafi lakini pia haya yanaweza kutokea sababu mapungufu yaliyopo WCB.
Kwa sasa WCB ni kama ukoo kambale kila mtu ana ndevu.
Nimemskia juzi Tale anatamka hadharani kuwa awatanyenyekea media yoyote itayotaka kuwakwamisha akarudia hiyo kauli mara nne..ilo ni tatizo tayari, awajafika uko wanapodhani wamefika. Wanakuja na Tv yao lakini bado awajafika pale wanapodhani.
Mara nimesikia dansa wa Diamond kawatishia uhai watangazaji wa shilawadu mpaka kuwaumiza. Mpaka sasa uongozi wa wcb awajasema lolote kuonyesha kutounga mkono kitendo hicho.
Nimeona mpiga picha wao anamshambulia mkongwe wa muziki Ray C akimuita marehemu wa muziki.
Na mengine mengi, yote haya yanaonyesha kiburi cha mafanikio kimejaa pale WCB si viongozi mpaka wafagiaji wote nyota zinawaka mpaka wamejisahau wamevimba vichwa wameota mapembe.
Wamesahau msingi mkubwa wa mafanikio ya Diamond mpaka anafika hapo na kuifikisha hapo Wasafi ni UNYENYEKEVU.
Inawezekana kuna mambo wanakumbana nayo yanawalazimu kufikia hatua hii ila lazima waelewe biashara ya Entertainment ni biashara ya kibepari.
Naomba hii timu ijitafakari wakati wanauanza mwaka, kuna kitu hakipo sawa.
Mwl Nyerere alitunga kitabu kinaitwa Tujisahihishe, mkipata nafasi kitafuteni mkisome mtajifunza kitu kuhusu kujisahihisha... Kujisahihisha sio kujishusha.
Mtaenda Hyatt mtaenda Mwembeyanga but you still need media houses & media people.
Ni mtazamo tu, kiroho safi!
Hii habari niliona mchana nikaisubscribe kabisa sasa narudi kupitia pitia kujua wadau wanatoa maoni gani kumbe topic ilishabadilika ni ya huyo guru na 50Nimeambiwa ni msanii wa singeli
Sasa mbona mond hajashuka??MKuu usicheze na Media,Media zina nguvu sana,zinaweza kukushusha na ukapotea kabisa kwenye ramani,utabaki kupigwa kwenye bajaji na bodaboda tu.
jamaa wanaleta mambo ya umarekani....Hii thread ilikuwa nzuri sasa naona habari nyingine kabisa zakina guru sijui ni nani huyu
Weka hiyo link ya interview hapa tuioneWewe unajuaje mtu hajafanya interview kuongelea kitu fulani?
Ulikuwa naye muda wote wa maisha yake yote?
Mimi nitapata nini kudanganya kafanya interview wakati hajafanya?
Hoja ni ipi hapo unavyoona wewe? Unawezaje kusema mtu hajafanya interview kama ulikuwa naye maishabyake yote ukasema hiyo ni hoja?
Soma thread, usikurupuke. Video sijaiona mwaka jana au juzi. Inawezekana kabisa haipo tena online.Weka hiyo link ya interview hapa tuione
Muulize huyo aliyeanza kuniita mimi muongo bila ushahidi wala sababu.Nyie mbona mnakua hamna Adabu na thread za watu yaan ndani ya thread ya mwenzenu mmeanzisha mada yenu isiyo na kichwa wala miguu nyambafuuuuu
Muulize huyo aliyeanza kuniita mimi muongo bila ushahidi wala sababu.
Akirudishiwa mikuki asione mkuki mtamu kwa nguruwe.
Wahenga walisema akuanzaye mmalize.
In the strets they say don't start nothing, there won't be nothing.
R. I. P Guru this brotha made classics!Miaka michache nyuma kuna siku nilikuwa namsikiliza Guru, rapper wa Gangstarr alikuwa anahojiwa.
Mtangazaji baada ya kumuhoji akamuuliza. Nimesikia una beef na Fifty Cent, tueleze kuhusu hiyo beef.
Guru akawa kama kashangaa, akasema beef gani? Mimi na Fifty tuko poa tu, hatuna beef. Namuheshimu sana Fifty, anafanya kazi nzuri etc.
Guru anavyokandya kwenye nyimbo zake nilikuwa nafikiri angemtukana Fifty.
Na angemtukana ingezia bonge la beef.
Lakini alijionesha kwamba yeye ni OG anayejua "Code of The Street".
Kwanza si kila beef lazima itangazwe na ikuzwe. Kuna vibeef vingine wadau wanakaa chini na kuvimaliza mtaani tu.
Pili hata kama wewe ni OG kiasi gani au matawi kivipi, inakubidi kujua kuishi na watu strategically ili usijiharibie kazi.
Tangu siku hiyo nikamuangalia Guru kuwa si OG tu, bali nibsavvy businesman pia.
Tatizo kibongobongo mtu akishafika level fulani anaona kashamaliza kila kitu.
Kuna mtu kaharibu mtiririko mzima wa thread kwa kusema nimedanganya hiyo video haipo, anazijua video zote za interviews zote za Guru.R. I. P Guru this brotha made classics!
Jazzmattaz volumes being my favorite.
Having Respect & Staying humble
will take us places ,money cant
A nice one!
Sadly, staying humble is a habit that takes years to develop!
It's an art and probably a talent!
It's not for everyone!