We kijana acha punyeto na kusagana mara moja, tabia mbaya alaa..

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Nazungumzo na wewe ambae unatoka bafuni kupiga punyeto usirudie tena sawa?

Na wewe unaejiandaa kwenda kupiga punyeto bafuni acha hiyo ujinga bana..

Na nyie mliomaliza kusagana hapo, tafadhali msirudie tena huo uchafu.

Sikia, nyie mabinti mnataka kuanza kufanya nini hapo, embu acheni huo uharibifu wa tupu na via vyenu vya uzazi...

Wewe tupa hilo toy la uumee, umeskia?
Unataka kuchomeka wap huko alaaa..

Tafadhali sana tunzeni afya zenu kuepuka madhara ya kiafya yatokanayo na upigaji nyeto na kusagana, kama vile kusinyaa uume, uume kuwa legelege baada ya muda, kupungukia uwezo wa kutungisha au kushika mimba, kupoteza hamu na ladha ya tendo, kuharibu sura halisi ya tupu kwa k na kua ya kutisha, kusababisha usugu na saratani kwenye via vya uzazi n.kπŸ’

Tunza afya yako..
 
Anayesagana au anayepiga punyeto na aliyepo CCM yupi nafuu? Ingawa najua wengi pamoja na kuwa na hizo tabia lakini pia wapo CCM kwa wingi
 
We umetoka kupiga bila shaka unamajonzi shv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…