We kijana acha punyeto na kusagana mara moja, tabia mbaya alaa..

We kijana acha punyeto na kusagana mara moja, tabia mbaya alaa..

mkuu elezea zaidi hapo kwenye mikosi
wenzako wote ulosoma nao shule na mkamaluza pamoja na tena wewe ndie uliefaulu vizuri zaidi yao, wamepata kazi, wameoa, wanafamilia, mali na watoto nyumbani 🐒

mpiga nyeto upo upo tu na mibahasha barabarani kila siku kutafuta kazi, hauwishortlested kwenye written wala oral interviews, na muda usiokua mrefu unakosa sifa za kuajiriawa kabisa kwasababu umri umekutupa mkono 🐒

gentleman,
nyeto ni mkosi unaotembea nao kila siku, mkono unaopigia nyeto una laana ni mchafu, mwili wako, sura yako, maneno yako, moyo wako umejaa uchafu unawaza uchafu tu, hupendeki daima,

Baraka na neema za Mungu haziambatani na mtu mchafu aliehalalisha uovu nafsini na mwilini mwake kua haki, zinakukimbia wenzako wana neemeka kirahisi tu 🐒
 
wenzako wote ulosoma nao shule na mkamaluza pamoja na tena wewe ndie uliefaulu vizuri zaidi yao, wamepata kazi, wameoa, wanafamilia, mali na watoto nyumbani 🐒

mpiga nyeto upo upo tu na mibahasha barabarani, haushortlested kwa written wala oral interview na muda usiokua mrefu unakosa sifa za kuajiriawa, umri umekutupa mkono 🐒

gentleman,
nyeto ni mkosi unaotembea nao, mkono unaopigia nyeto una laana ni mchafu, mwili wako, sura yako, maneno yako, moyo wako umejaa uchafu unawaza uchafu tu, hupendeki, Baraka na neema zinakukimbia wenzako wana neemeka tu 🐒
hili povu sas mkuu,
hujajibu swali badala yake umeanza kumshambulia muulizaji
 
Nani aliyekudanganya mpiga punyeto na kusagana hawezi kutungisha mimba au kupata mimba?
Nyie ndio mnaosababisha CCM iendelee kubaki madarakani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hili povu sas mkuu,
hujajibu swali badala yake umeanza kumshambulia muulizaji
no, no, no, nooo...

sijamshambulia muuliza swali, naeleza tu bayana juu ya athari za kimwili na kiroho anazokumbana nazo mpiga nyeto maeneo mbalimbali.
wapiga nyeto wengi ni rejected kwenye kazi na hata uchumba au mahusiano. wana mikosi sana...

yaani kwa bahati inaweza tokea amepata kazi ya mchongo, safari au scholarship lakini at the end of the time ikawa declined 🤣

nadhan sifahamu na wala sijui ikiwa muuliza sawali anajua kupiga nyeto au mpiga nyeto...

naeleza kwa yeyote yule, hususani mpiga nyeto anaesoma reply mahususi 🐒
 
😁😁😁Kwani ukiwa tajiri ndio unapaswa kuumwa HIV na kaswende?
Baadhi ya watu wanaamini kupiga punyeto,ni kwamba mtu anakua kakosa pesa ya kumpa mdada au mmama,amalize ashki zake,ilhali kuna hadi mawziri wana huo uraibu,rejea yule waziri wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,alimlikwa na CCTV akinyetuka,ilhali ni mtu mwenye wadhifa na pesa.
 
Hahaha waache waone hatuna pesa.
 
Nazungumzo na wewe ambae unatoka bafuni kupiga punyeto usirudie tena sawa?

Na wewe unaejiandaa kwenda kupiga punyeto bafuni acha hiyo ujinga bana..

Na nyie mliomaliza kusagana hapo, tafadhali msirudie tena huo uchafu.

Sikia, nyie mabinti mnataka kuanza kufanya nini hapo, embu acheni huo uharibifu wa tupu na via vyenu vya uzazi...

Wewe tupa hilo toy la uumee, umeskia?
Unataka kuchomeka wap huko alaaa..

Tafadhali sana tunzeni afya zenu kuepuka madhara ya kiafya yatokanayo na upigaji nyeto na kusagana, kama vile kusinyaa uume, uume kuwa legelege baada ya muda, kupungukia uwezo wa kutungisha au kushika mimba, kupoteza hamu na ladha ya tendo, kuharibu sura halisi ya tupu kwa k na kua ya kutisha, kusababisha usugu na saratani kwenye via vya uzazi n.k🐒

Tunza afya yako..
😀😀😀😀 USITUTISHE
 
😀😀😀😀 USITUTISHE
hamna kutishana hapa gentleman,
ni kuelezana ukweli tu, ila sasa saa zingine ndio hivyo tena ukweli unaweza kua mgumu, unaweza kua mchungu, unatisha na kutia hofu,

lakini itabidi uzoee tu, maana hakuna namna nyingine sasa 🐒
 
Nilikua nakutania tu, lakini kimsingi ni kweli punyeto ina madhara kama ukizidisha, nielewe vizuri hapa (kama ukizidisha).
 
Nilikua nakutania tu, lakini kimsingi ni kweli punyeto ina madhara kama ukizidisha, nielewe vizuri hapa (kama ukizidisha).
achana na nyeto tu kwa ujumla gentleman mbona pisi kali zipo kila mahali aise 🐒
 
achana na nyeto tu kwa ujumla gentleman mbona pisi kali zipo kila mahali aise 🐒
Mimi nishaachana na iyo michezo lakini siwezi kuwashambulia ambao bado wanafanya maana naelewa hatua za makuzi ya mwanaume, vile vile naongelea kitu kisayansi sio kwa mihemko aunkufata mkumbo, ni kweli punyeto ina madhara kama mpigaji akizidisha.... anyway izo pisi kali zinavutwa mkuu?
 
no, no, no, nooo...

sijamshambulia muuliza swali, naeleza tu bayana juu ya athari za kimwili na kiroho anazokumbana nazo mpiga nyeto maeneo mbalimbali.
wapiga nyeto wengi ni rejected kwenye kazi na hata uchumba au mahusiano. wana mikosi sana...

yaani kwa bahati inaweza tokea amepata kazi ya mchongo, safari au scholarship lakini at the end of the time ikawa declined 🤣

nadhan sifahamu na wala sijui ikiwa muuliza sawali anajua kupiga nyeto au mpiga nyeto...

naeleza kwa yeyote yule, hususani mpiga nyeto anaesoma reply mahususi 🐒
hapo nimekupata uzuri mkuu
 
Back
Top Bottom