Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #61
ni pamoja na kutunga sheria za kuzuia uraibu kama huu wa fedheha sana, ambao kwa kiasi kikubwa umedumaza uwezo wa vijana kufikiri vizuri, unazorotesha kwa kiasi kikubwa afya za uzazi wa nguvu kazi ya Taifa, lakini pia kuchochea vijana wengi kua na matatizo ya afya ya akili 🐒Huko bungeni hamna kazi ya kufanya?