We kijana acha punyeto na kusagana mara moja, tabia mbaya alaa..

We kijana acha punyeto na kusagana mara moja, tabia mbaya alaa..

Naona baada yakufikaa mshindo umeanzaa kujilaumu kuwa hutarudia Tena na kuamua kutuandikia Uzi kbs Kwa kuwasema vijana kumbe unajisema mwenyewe...

Mapenzi yamekuwa ghali sana,vijana hawana pakuponea Zaid ya hapo mkuu😅
 
Nakuunga mkono 100%. Nyeto haifai. Lakini Dr anayeheshimika Afrika alishasema nyeto haina madhara. Inachanganya sana.
 
Back
Top Bottom