We mwl. Kuluthum Lema wa S/M Kimandafu uko juu ya waziri wa Elimu? Kwanini uwachape wanafunzi waliofika shuleni kabla ya saa moja asubuhi?

Sangamwalogesha

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2025
Posts
2,153
Reaction score
1,419
Ni hivi karibuni waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda alikumbushia muda wa wanafunzi kufika shuleni asubuhi ni saa 2 asubuhi. Na hiyo ni kwa mujibu ws sheria namba 84 inayoongoza shule za misingi nchini.
La ajabu walimu bado wanadharau na kupuuzia maelekezo ya viongozi wakuu level ya waziri wa Elimu. Hii jeuri na dharau wanaitoa wapi? Siku ya jana kuna mwl wa shule ya msingi Kimandafu iliyo halmashauri ya wilaya ya Meru mkoani Arusha aliwachapa watoto wetu waliofika shuleni saa 1 asubuhi hata siyo saa 8 km sheria inavyotaka. Eti kuwahi ni saa 12 na nusu asubuhi nia ya huyu mwl ni nini? Watoto wabakwe njiani? Waamke saa 10 na nusu alfajiri? Lengo la sheria na maelekezo ya serikali ni usalama na afya ya watoto wetu.
Serikali kupitia sheria imeelekeza mtoto asifike shuleni kabla ya saa 1:15 asubuhi. Je huyu mwl ana ruhusa ya maandishi ya mwl mkuu wake? Maana mwl mkuu wa hiyo shule Ndida Laizer watoto wake wanaosoma shule inaitwa Rays pamoja na kwamba wanaishi ndani ya mita 500 wanachukuliwa na gari la shule na wanafika shule saa 2 asubuhi. Kwanini watoto wetu wanaotoka zaidi ya kilomita 2 watakiwe kufika saa 12 shuleni? Kwanini wawatese watoto wetu na wakijua ni kinyume na sheria na maelekezo ya viongozi wakuu?
Kwamba walimu watoto wao wanabebwa na magari na wanafika saa 2 hakuna tatizo, ila watoto wetu ni wa kutandikwa km ngoma za kufanyia mazoezi? Wanatujengea jamii ya watu wakatili watakaokuwa hawajiamini, wanahatarisha usalama na afya zao
Najua pale halmashauri ya Meru hakuna hatua wanaweza kuchukua, waziri wa Elimu chukua hatua hasa kwa maelekezo yako na sheria ya nchi kudharauliwa.
 
Acheni usenge msiingize siasa kwenye taaluma miaka yote wamekwenda shule kabla ya saamoja hawajabakwa iweje wabakwe baada ya kauli ya waziri?wenzako wanasomesha watoto wao kwenye shule zenye kila kitu wewe mavi kunuka unasikiliza sifa zao za kutafuta mitaji ya wajinga kama wewe kisiasa,
 
Sasa mkubwa kwa shule zetu za saint kayumba watoto ukisema waanze kufika saa mbili shule , watafagia mazingira ya shule saa ngapi , usafi madarasani , kumwagilia maua kama yapo n.k
Na masomo yataanza saa ngapi ?
Unataka masomo yaanze saa nne ?
 
Na hilo ndio tatizo la kuwapa uongozi watu amabo hawajui uhalisia wa elimu nchini, mtu kasoma ma international huko u ampa uwaziri hajui kama kuna watoto wanatembea km 7 kwenda shule, hajui kwamba shule hazina budgeti ya kuajili watu wa kusafisha maeneo yaa shule bali husafishwa na watoto wenyewe hajui hayo,viongozi wa tanzania ni mabumbumbu sana wanaropoka ropika tu kama wamekatwa vichwa
 
mwl mkuu wa hiyo shule Ndida Laizer watoto wake wanaosoma shule inaitwa Rays pamoja na kwamba wanaishi ndani ya mita 500 wanachukuliwa na gari la shule na wanafika shule saa 2 asubuhi. Kwanini watoto wetu wanaotoka zaidi ya kilomita 2 watakiwe kufika saa 12 shuleni? Kwanini wawatese watoto wetu na wakijua ni kinyume na sheria .
Mkuu hiyo Rays wanasoma hao watoto wa mwl mkuu peke yao ?
Umejiuliza watoto wengine wanaokaa km 10 wanaenda kuchukuliwa na gari la shule saa ngapi ?
Maana utaratibu school bus huwa linaanza kukusanya wanafunzi wa mbali linamalizia wa karbu na shule.
 
Hebu tuanze kwanza na Elimu yako?. Wewe umesoma wapi?. Tafta hela peleka watoto wakapande school BUS punguza wivu wa kishamba,, ,,wakifika saa 2 asubuhi shule atafagia mama ako?. Vyoo vyao adeki nani?. Tumesoma hivyo hivyo Tena shule tulikua tunafika 6;30. Shida unekimbilia kuzaa wakati bado akili yako ya kitoto!.
Any way!. Kabla ya kuropoka humu umefika shuleni kujadiliana na uongozi wa shule?..
NB:. Mkenda hawafundishi hao watoto hapo yeye yupo Dodoma anakula kiyoyozi,,wanaoishi nao kila siku wapo hapo unawaruka ,,Soo stupid
 
Ni hivi karibuni waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda alikumbushia muda wa wanafunzi kufika shuleni asubuhi ni saa 2 asubuhi. Na hiyo ni kwa mujibu ws sheria namba 84 inayoongoza shule za misingi nchini.
La ajabu walimu bado wanadharau na kupuuzia maelekezo ya viongozi wakuu level ya waziri wa Elimu. Hii jeuri na dharau wanaitoa wapi? Siku ya jana kuna mwl wa shule ya msingi Kimandafu iliyo halmashauri ya wilaya ya Meru mkoani Arusha aliwachapa watoto wetu waliofika shuleni saa 1 asubuhi hata siyo saa 8 km sheria inavyotaka. Eti kuwahi ni saa 12 na nusu asubuhi nia ya huyu mwl ni nini? Watoto wabakwe njiani? Waamke saa 10 na nusu alfajiri? Lengo la sheria na maelekezo ya serikali ni usalama na afya ya watoto wetu.
Serikali kupitia sheria imeelekeza mtoto asifike shuleni kabla ya saa 1:15 asubuhi. Je huyu mwl ana ruhusa ya maandishi ya mwl mkuu wake? Maana mwl mkuu wa hiyo shule Ndida Laizer watoto wake wanaosoma shule inaitwa Rays pamoja na kwamba wanaishi ndani ya mita 500 wanachukuliwa na gari la shule na wanafika shule saa 2 asubuhi. Kwanini watoto wetu wanaotoka zaidi ya kilomita 2 watakiwe kufika saa 12 shuleni? Kwanini wawatese watoto wetu na wakijua ni kinyume na sheria na maelekezo ya viongozi wakuu?
Kwamba walimu watoto wao wanabebwa na magari na wanafika saa 2 hakuna tatizo, ila watoto wetu ni wa kutandikwa km ngoma za kufanyia mazoezi? Wanatujengea jamii ya watu wakatili watakaokuwa hawajiamini, wanahatarisha usalama na afya zao
Najua pale halmashauri ya Meru hakuna hatua wanaweza kuchukua, waziri wa Elimu chukua hatua hasa kwa maelekezo yako na sheria ya nchi kudharauliwa.
Mwl. Mkuu wa hiyo shule Ndida Laizer ameiweka halmashauri nzima ya Meru mfukoni mwake anajua atamlinda na wala hamtambui waziri wa Elimu wala sheria za nchi. Walimu wa pale ni wakatili kwa watoto.
 
Ni hivi karibuni waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda alikumbushia muda wa wanafunzi kufika shuleni asubuhi ni saa 2 asubuhi. Na hiyo ni kwa mujibu ws sheria namba 84 inayoongoza shule za misingi nchini.
La ajabu walimu bado wanadharau na kupuuzia maelekezo ya viongozi wakuu level ya waziri wa Elimu. Hii jeuri na dharau wanaitoa wapi? Siku ya jana kuna mwl wa shule ya msingi Kimandafu iliyo halmashauri ya wilaya ya Meru mkoani Arusha aliwachapa watoto wetu waliofika shuleni saa 1 asubuhi hata siyo saa 8 km sheria inavyotaka. Eti kuwahi ni saa 12 na nusu asubuhi nia ya huyu mwl ni nini? Watoto wabakwe njiani? Waamke saa 10 na nusu alfajiri? Lengo la sheria na maelekezo ya serikali ni usalama na afya ya watoto wetu.
Serikali kupitia sheria imeelekeza mtoto asifike shuleni kabla ya saa 1:15 asubuhi. Je huyu mwl ana ruhusa ya maandishi ya mwl mkuu wake? Maana mwl mkuu wa hiyo shule Ndida Laizer watoto wake wanaosoma shule inaitwa Rays pamoja na kwamba wanaishi ndani ya mita 500 wanachukuliwa na gari la shule na wanafika shule saa 2 asubuhi. Kwanini watoto wetu wanaotoka zaidi ya kilomita 2 watakiwe kufika saa 12 shuleni? Kwanini wawatese watoto wetu na wakijua ni kinyume na sheria na maelekezo ya viongozi wakuu?
Kwamba walimu watoto wao wanabebwa na magari na wanafika saa 2 hakuna tatizo, ila watoto wetu ni wa kutandikwa km ngoma za kufanyia mazoezi? Wanatujengea jamii ya watu wakatili watakaokuwa hawajiamini, wanahatarisha usalama na afya zao
Najua pale halmashauri ya Meru hakuna hatua wanaweza kuchukua, waziri wa Elimu chukua hatua hasa kwa maelekezo yako na sheria ya nchi kudharauliwa.
Acha tabia ya majungu, umbea na woga wa kijinga! Ungekua jasiri na mtu unayejitambua! usingekuja kumlalamikia huyo mwalimu humu jukwaani. Badala yake ungeenda mpaka shule na kuonana na mwalimu mkuu pamoja na huyo mwalimu, ili uongee nao! na wewe uweze kupewa ufafanuzi wa kina kuhusu haya malalamiko yako.
 
Saiv mnalalamika mtoto kuchapwa
 
Attachments

  • Screenshot_20260831_184454_Instagram.jpg
    Screenshot_20260831_184454_Instagram.jpg
    236.3 KB · Views: 17
Mzazi acha kiherehere, utakuja kula ngumi ukija shuleni na tutakupa mtoto wako ukamfundishe wewe nyumbani. Uwe na shukrani tunapokulelea mtoto wako wakati wewe unaenda kazini kwako sisi ndio mayaya wako, shwaini tuliza mizuka!
 
Ila wabongo nimewavulia kofia. Watu badala ya kuzungumzia adhabu ya viboko wao wanamshukia mleta uzi. Hawa hawa wakisikia huyo mwalimu kauwa mtoto na fimbo kwa kosa la kuchelewa shuleni utawaona watakavyogeuka hapa. Utawasikia huyo mwalimu anyongwe yaani mtoto kuchelewa kufika shuleni tu kampiga viboko mpaka amue mtoto wa mwenzake.

Muda wa shule ni kuanzia saa moja asubuhi. Ila siku hizi hawa walimu wamekuja na upuuzi mwingi sana wanafunzi wafike shule asubuhi kabla hakuja kucha vizuri na wanawatoa saa moja usiku. Kisingizio eti darasa la mitihani. Utafikiri hiyo mitihani imeanza leo wakati mithani iliaanza toka enzi za Nyerere huko na watu walikuwa vipanga balaa. Walimu wenyewe wafundishe sasa ili watoto waelewe wao wanaishia kuwa karirisha.

Crtical thinking hakuna kabisa kiasi unajiuliza huyo mwalimu anayelazimisha mtoto afike shule kabla hakujakucha na aondoke shule usiku umeingia anawafundisha nini cha ajabu. Ukifuatilia sana ni maslahi binafsi tu ya tuisheni basi hakuna kingine.

Na ukifuatilia sana hao walimu wanaopenda kuwatandika watoto viboko wengi wao wana matatizo ya kifamilia au kisaikolojia. Na asipofungwa kizibiti mwendo huyo mwalimu ipo siku atamtandika mtoto mwenye matatizo yake halafu litokee la kutokea iwe balaa. Mtu mzima timamu huwezi kupenda kutandika tandika hovyo watoto wa wenzako.

Ni mtizamo tu.
 
Ni hivi karibuni waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda alikumbushia muda wa wanafunzi kufika shuleni asubuhi ni saa 2 asubuhi. Na hiyo ni kwa mujibu ws sheria namba 84 inayoongoza shule za misingi nchini.
La ajabu walimu bado wanadharau na kupuuzia maelekezo ya viongozi wakuu level ya waziri wa Elimu. Hii jeuri na dharau wanaitoa wapi? Siku ya jana kuna mwl wa shule ya msingi Kimandafu iliyo halmashauri ya wilaya ya Meru mkoani Arusha aliwachapa watoto wetu waliofika shuleni saa 1 asubuhi hata siyo saa 8 km sheria inavyotaka. Eti kuwahi ni saa 12 na nusu asubuhi nia ya huyu mwl ni nini? Watoto wabakwe njiani? Waamke saa 10 na nusu alfajiri? Lengo la sheria na maelekezo ya serikali ni usalama na afya ya watoto wetu.
Serikali kupitia sheria imeelekeza mtoto asifike shuleni kabla ya saa 1:15 asubuhi. Je huyu mwl ana ruhusa ya maandishi ya mwl mkuu wake? Maana mwl mkuu wa hiyo shule Ndida Laizer watoto wake wanaosoma shule inaitwa Rays pamoja na kwamba wanaishi ndani ya mita 500 wanachukuliwa na gari la shule na wanafika shule saa 2 asubuhi. Kwanini watoto wetu wanaotoka zaidi ya kilomita 2 watakiwe kufika saa 12 shuleni? Kwanini wawatese watoto wetu na wakijua ni kinyume na sheria na maelekezo ya viongozi wakuu?
Kwamba walimu watoto wao wanabebwa na magari na wanafika saa 2 hakuna tatizo, ila watoto wetu ni wa kutandikwa km ngoma za kufanyia mazoezi? Wanatujengea jamii ya watu wakatili watakaokuwa hawajiamini, wanahatarisha usalama na afya zao
Najua pale halmashauri ya Meru hakuna hatua wanaweza kuchukua, waziri wa Elimu chukua hatua hasa kwa maelekezo yako na sheria ya nchi kudharauliwa.
Kama ni Mwl Kuruthum potezea tu ndugu yangu. Acha tu Wanetu Wasulubiwa kama mababu zetu walivyosulubiwa na Waarabu.

Hawa ndugu zetu katika Imani ni wakati wao wa kutunyonga Watanganyika. Huyo nae anatimiza tu Moja ya hizo nguzo.
 
Hapo wakifika saa mbili watafanya usafi wa mazingira saa ngapi na wataanza masomo saa ngapi? Maana hizi shule za kayumba ni lazima watoto wafanye usafi wa mazingira yao kabla ya vipindi kuanza tofauti na private school ambazo zina wafanya usafi, pia kuamka asubuhi kuna wajengea watoto ukakamavu, au wapeleke private tu mkuu
 
Back
Top Bottom