We mwl. Kuluthum Lema wa S/M Kimandafu uko juu ya waziri wa Elimu? Kwanini uwachape wanafunzi waliofika shuleni kabla ya saa moja asubuhi?

We mwl. Kuluthum Lema wa S/M Kimandafu uko juu ya waziri wa Elimu? Kwanini uwachape wanafunzi waliofika shuleni kabla ya saa moja asubuhi?

Hapo wakifika saa mbili watafanya usafi wa mazingira saa ngapi na wataanza masomo saa ngapi? Maana hizi shule za kayumba ni lazima watoto wafanye usafi wa mazingira yao kabla ya vipindi kuanza tofauti na private school ambazo zina wafanya usafi, pia kuamka asubuhi kuna wajengea watoto ukakamavu, au wapeleke private tu mkuu
Hakuna watoto wanaowahi kuamka kama hawa wa private
 
Hebu tuanze kwanza na Elimu yako?. Wewe umesoma wapi?. Tafta hela peleka watoto wakapande school BUS punguza wivu wa kishamba,, ,,wakifika saa 2 asubuhi shule atafagia mama ako?. Vyoo vyao adeki nani?. Tumesoma hivyo hivyo Tena shule tulikua tunafika 6;30. Shida unekimbilia kuzaa wakati bado akili yako ya kitoto!.
Any way!. Kabla ya kuropoka humu umefika shuleni kujadiliana na uongozi wa shule?..
NB:. Mkenda hawafundishi hao watoto hapo yeye yupo Dodoma anakula kiyoyozi,,wanaoishi nao kila siku wapo hapo unawaruka ,,Soo stupid
Kweli nimeamini walimu mnamsongo wa mawazo.siyo kwa maneno ya kujuha namna hiyo.Hata wanafunzi unaowafundisha itakuwa itakuwa hawakuelewi.
 
Kama miongozo ipo..huyo mwalimu awajibishwe..

Mmekazana usafi, kwani unachukua zaidi ya nusu saa?!

Acheni ukatili kwa watoto..

mtoto kupelekeshwa kama roboti, sio malezi...na msikwepe jukumu la kuwalea watoto wenu....mkashift responsibility kwa walimu...walimu wengine ni memento!
 
Back
Top Bottom