Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
Acheni usenge msiingize siasa kwenye taaluma miaka yote wamekwenda shule kabla ya saamoja hawajabakwa iweje wabakwe baada ya kauli ya waziri?wenzako wanasomesha watoto wao kwenye shule zenye kila kitu wewe mavi kunuka unasikiliza sifa zao za kutafuta mitaji ya wajinga kama wewe kisiasa,Ni hivi karibuni waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda alikumbushia muda wa wanafunzi kufika shuleni asubuhi ni saa 2 asubuhi. Na hiyo ni kwa mujibu ws sheria namba 84 inayoongoza shule za misingi nchini.
La ajabu walimu bado wanadharau na kupuuzia maelekezo ya viongozi wakuu level ya waziri wa Elimu. Hii jeuri na dharau wanaitoa wapi? Siku ya jana kuna mwl wa shule ya msingi Kimandafu iliyo halmashauri ya wilaya ya Meru mkoani Arusha aliwachapa watoto wetu waliofika shuleni saa 1 asubuhi hata siyo saa 8 km sheria inavyotaka. Eti kuwahi ni saa 12 na nusu asubuhi nia ya huyu mwl ni nini? Watoto wabakwe njiani? Waamke saa 10 na nusu alfajiri? Lengo la sheria na maelekezo ya serikali ni usalama na afya ya watoto wetu.
Serikali kupitia sheria imeelekeza mtoto asifike shuleni kabla ya saa 1:15 asubuhi. Je huyu mwl ana ruhusa ya maandishi ya mwl mkuu wake? Maana mwl mkuu wa hiyo shule Ndida Laizer watoto wake wanaosoma shule inaitwa Rays pamoja na kwamba wanaishi ndani ya mita 500 wanachukuliwa na gari la shule na wanafika shule saa 2 asubuhi. Kwanini watoto wetu wanaotoka zaidi ya kilomita 2 watakiwe kufika saa 12 shuleni? Kwanini wawatese watoto wetu na wakijua ni kinyume na sheria na maelekezo ya viongozi wakuu?
Kwamba walimu watoto wao wanabebwa na magari na wanafika saa 2 hakuna tatizo, ila watoto wetu ni wa kutandikwa km ngoma za kufanyia mazoezi? Wanatujengea jamii ya watu wakatili watakaokuwa hawajiamini, wanahatarisha usalama na afya zao
Najua pale halmashauri ya Meru hakuna hatua wanaweza kuchukua, waziri wa Elimu chukua hatua hasa kwa maelekezo yako na sheria ya nchi kudharauliwa.
Na hilo ndio tatizo la kuwapa uongozi watu amabo hawajui uhalisia wa elimu nchini, mtu kasoma ma international huko u ampa uwaziri hajui kama kuna watoto wanatembea km 7 kwenda shule, hajui kwamba shule hazina budgeti ya kuajili watu wa kusafisha maeneo yaa shule bali husafishwa na watoto wenyewe hajui hayo,viongozi wa tanzania ni mabumbumbu sana wanaropoka ropika tu kama wamekatwa vichwaSasa mkubwa kwa shule zetu za saint kayumba watoto ukisema waanze kufika saa mbili shule , watafagia mazingira ya shule saa ngapi , usafi madarasani , kumwagilia maua kama yapo n.k
Na masomo yataanza saa ngapi ?
Unataka masomo yaanze saa nne ?
Mkuu hiyo Rays wanasoma hao watoto wa mwl mkuu peke yao ?mwl mkuu wa hiyo shule Ndida Laizer watoto wake wanaosoma shule inaitwa Rays pamoja na kwamba wanaishi ndani ya mita 500 wanachukuliwa na gari la shule na wanafika shule saa 2 asubuhi. Kwanini watoto wetu wanaotoka zaidi ya kilomita 2 watakiwe kufika saa 12 shuleni? Kwanini wawatese watoto wetu na wakijua ni kinyume na sheria .
Mwl. Mkuu wa hiyo shule Ndida Laizer ameiweka halmashauri nzima ya Meru mfukoni mwake anajua atamlinda na wala hamtambui waziri wa Elimu wala sheria za nchi. Walimu wa pale ni wakatili kwa watoto.Ni hivi karibuni waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda alikumbushia muda wa wanafunzi kufika shuleni asubuhi ni saa 2 asubuhi. Na hiyo ni kwa mujibu ws sheria namba 84 inayoongoza shule za misingi nchini.
La ajabu walimu bado wanadharau na kupuuzia maelekezo ya viongozi wakuu level ya waziri wa Elimu. Hii jeuri na dharau wanaitoa wapi? Siku ya jana kuna mwl wa shule ya msingi Kimandafu iliyo halmashauri ya wilaya ya Meru mkoani Arusha aliwachapa watoto wetu waliofika shuleni saa 1 asubuhi hata siyo saa 8 km sheria inavyotaka. Eti kuwahi ni saa 12 na nusu asubuhi nia ya huyu mwl ni nini? Watoto wabakwe njiani? Waamke saa 10 na nusu alfajiri? Lengo la sheria na maelekezo ya serikali ni usalama na afya ya watoto wetu.
Serikali kupitia sheria imeelekeza mtoto asifike shuleni kabla ya saa 1:15 asubuhi. Je huyu mwl ana ruhusa ya maandishi ya mwl mkuu wake? Maana mwl mkuu wa hiyo shule Ndida Laizer watoto wake wanaosoma shule inaitwa Rays pamoja na kwamba wanaishi ndani ya mita 500 wanachukuliwa na gari la shule na wanafika shule saa 2 asubuhi. Kwanini watoto wetu wanaotoka zaidi ya kilomita 2 watakiwe kufika saa 12 shuleni? Kwanini wawatese watoto wetu na wakijua ni kinyume na sheria na maelekezo ya viongozi wakuu?
Kwamba walimu watoto wao wanabebwa na magari na wanafika saa 2 hakuna tatizo, ila watoto wetu ni wa kutandikwa km ngoma za kufanyia mazoezi? Wanatujengea jamii ya watu wakatili watakaokuwa hawajiamini, wanahatarisha usalama na afya zao
Najua pale halmashauri ya Meru hakuna hatua wanaweza kuchukua, waziri wa Elimu chukua hatua hasa kwa maelekezo yako na sheria ya nchi kudharauliwa.
Acha tabia ya majungu, umbea na woga wa kijinga! Ungekua jasiri na mtu unayejitambua! usingekuja kumlalamikia huyo mwalimu humu jukwaani. Badala yake ungeenda mpaka shule na kuonana na mwalimu mkuu pamoja na huyo mwalimu, ili uongee nao! na wewe uweze kupewa ufafanuzi wa kina kuhusu haya malalamiko yako.Ni hivi karibuni waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda alikumbushia muda wa wanafunzi kufika shuleni asubuhi ni saa 2 asubuhi. Na hiyo ni kwa mujibu ws sheria namba 84 inayoongoza shule za misingi nchini.
La ajabu walimu bado wanadharau na kupuuzia maelekezo ya viongozi wakuu level ya waziri wa Elimu. Hii jeuri na dharau wanaitoa wapi? Siku ya jana kuna mwl wa shule ya msingi Kimandafu iliyo halmashauri ya wilaya ya Meru mkoani Arusha aliwachapa watoto wetu waliofika shuleni saa 1 asubuhi hata siyo saa 8 km sheria inavyotaka. Eti kuwahi ni saa 12 na nusu asubuhi nia ya huyu mwl ni nini? Watoto wabakwe njiani? Waamke saa 10 na nusu alfajiri? Lengo la sheria na maelekezo ya serikali ni usalama na afya ya watoto wetu.
Serikali kupitia sheria imeelekeza mtoto asifike shuleni kabla ya saa 1:15 asubuhi. Je huyu mwl ana ruhusa ya maandishi ya mwl mkuu wake? Maana mwl mkuu wa hiyo shule Ndida Laizer watoto wake wanaosoma shule inaitwa Rays pamoja na kwamba wanaishi ndani ya mita 500 wanachukuliwa na gari la shule na wanafika shule saa 2 asubuhi. Kwanini watoto wetu wanaotoka zaidi ya kilomita 2 watakiwe kufika saa 12 shuleni? Kwanini wawatese watoto wetu na wakijua ni kinyume na sheria na maelekezo ya viongozi wakuu?
Kwamba walimu watoto wao wanabebwa na magari na wanafika saa 2 hakuna tatizo, ila watoto wetu ni wa kutandikwa km ngoma za kufanyia mazoezi? Wanatujengea jamii ya watu wakatili watakaokuwa hawajiamini, wanahatarisha usalama na afya zao
Najua pale halmashauri ya Meru hakuna hatua wanaweza kuchukua, waziri wa Elimu chukua hatua hasa kwa maelekezo yako na sheria ya nchi kudharauliwa.
Kama ni Mwl Kuruthum potezea tu ndugu yangu. Acha tu Wanetu Wasulubiwa kama mababu zetu walivyosulubiwa na Waarabu.Ni hivi karibuni waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda alikumbushia muda wa wanafunzi kufika shuleni asubuhi ni saa 2 asubuhi. Na hiyo ni kwa mujibu ws sheria namba 84 inayoongoza shule za misingi nchini.
La ajabu walimu bado wanadharau na kupuuzia maelekezo ya viongozi wakuu level ya waziri wa Elimu. Hii jeuri na dharau wanaitoa wapi? Siku ya jana kuna mwl wa shule ya msingi Kimandafu iliyo halmashauri ya wilaya ya Meru mkoani Arusha aliwachapa watoto wetu waliofika shuleni saa 1 asubuhi hata siyo saa 8 km sheria inavyotaka. Eti kuwahi ni saa 12 na nusu asubuhi nia ya huyu mwl ni nini? Watoto wabakwe njiani? Waamke saa 10 na nusu alfajiri? Lengo la sheria na maelekezo ya serikali ni usalama na afya ya watoto wetu.
Serikali kupitia sheria imeelekeza mtoto asifike shuleni kabla ya saa 1:15 asubuhi. Je huyu mwl ana ruhusa ya maandishi ya mwl mkuu wake? Maana mwl mkuu wa hiyo shule Ndida Laizer watoto wake wanaosoma shule inaitwa Rays pamoja na kwamba wanaishi ndani ya mita 500 wanachukuliwa na gari la shule na wanafika shule saa 2 asubuhi. Kwanini watoto wetu wanaotoka zaidi ya kilomita 2 watakiwe kufika saa 12 shuleni? Kwanini wawatese watoto wetu na wakijua ni kinyume na sheria na maelekezo ya viongozi wakuu?
Kwamba walimu watoto wao wanabebwa na magari na wanafika saa 2 hakuna tatizo, ila watoto wetu ni wa kutandikwa km ngoma za kufanyia mazoezi? Wanatujengea jamii ya watu wakatili watakaokuwa hawajiamini, wanahatarisha usalama na afya zao
Najua pale halmashauri ya Meru hakuna hatua wanaweza kuchukua, waziri wa Elimu chukua hatua hasa kwa maelekezo yako na sheria ya nchi kudharauliwa.
Mwalimu inatakiwa awe na busara na staha, we ticha gani mkorofi hv?Mitoto yenu ikiwa mizembe hata kufua chupi zao na kufagia hivyo vijumba vyenu lawama mnapeleka kwa walimu kuwa wamewadekeza
Acha watoto wawahi shule wakafagie na kudeki madarasa punguani wewe