We mwl. Kuluthum Lema wa S/M Kimandafu uko juu ya waziri wa Elimu? Kwanini uwachape wanafunzi waliofika shuleni kabla ya saa moja asubuhi?

Hakuna watoto wanaowahi kuamka kama hawa wa private
 
Kweli nimeamini walimu mnamsongo wa mawazo.siyo kwa maneno ya kujuha namna hiyo.Hata wanafunzi unaowafundisha itakuwa itakuwa hawakuelewi.
 
Kama miongozo ipo..huyo mwalimu awajibishwe..

Mmekazana usafi, kwani unachukua zaidi ya nusu saa?!

Acheni ukatili kwa watoto..

mtoto kupelekeshwa kama roboti, sio malezi...na msikwepe jukumu la kuwalea watoto wenu....mkashift responsibility kwa walimu...walimu wengine ni memento!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…