Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,079
- 4,521
View attachment 1898851
Sijui kwa nini sikudownload[emoji56]
Enzi za utoto ni kuwaza tu kucheza hayo mambo hata sielewi
Halafu ukianzisha website ya kilimo cha matikiti maji unapata visitor wawili mwezi mzima.Naona ilikuwa aibu kwa nchi kwa most visited website kuwa xvideos.com
UMENIKUMBUSHA TUNDURU SEC.Haiwezekani iwe mwiko kwetu daima
Hadi wamefikia unamuzi wa kuzifunga kimyakimya wameona watu wamezidi kuingia humo kwa wingi kupitilizaNaskia website za ngono zimefungiwa Tanzania, kama ni kweli basi na support Kwa asilimia 100 uamuzi huu wa serikali Maana siku hizi watoto wanajua kuchezea simu sana.
Licha ya hyo, itasaidia vijana wengi kupunguza addiction ya picha hizi Maana wameathirika wengi kisaikolojia.
Nashauri wazuie na VPN kabisaaa kama inawezekana.
Very clever son !Binadamu sio ng'ombe umpangie fanya hiki usifanye kile,huwezi kumshuritisha binadamu,mwanadamu mpe Elimu,ana utashi wake,akielimika atafsnya maamuzi mazuri,ukimlazumisha lazima ajifunike kichwa(binti wa Kiislam),hakuna kukaa na wavulana,kwamba lazima aolewe akiwa bikra,basi tegemea vinti kutinduliwa Malinda maana hujampa stadi za maisha kuhusu umuhimu wa kutokufanya ngono mapema,wewe
Marahaba haujambo ?Nilikuwa likizo.Mama shikamoo. Mbona umeadimika sana?
Inamaana hao waliozifungia walikuwa maveterani wa hizo site mbili tueti wamefungia lixvideo na pornhub hayana ishu hayo thumbzila inapiga kazi
Style kuna vitabu vingi tu. Unaweza kujisomea.Wengine huwa tunaingia huko ku-learn styles
Hyo compilation ya history ni hatari [emoji119][emoji119]View attachment 1898851
Sijui kwa nini sikudownload[emoji56]