Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Lakini TCRA nimeshindwa kuwaelewa kabisa yaani, Hivi wamekosa vitu vya maana vya kufanyia kazi wanakuja kutufungia mitandao ambayo inatusaidia kuondoa Stress daah. Ila isiwe shida, Kwanini mpaka leo hii tunapokea meseji za “ILE HELA ITUME HUKU” na Watu wanatapeliwa kila siku mtandaoni ila TCRA wanaona Bora wanlock porn kuliko kuziblock text zote ambazo zina ZINASEMA ILE HELA NITUMIE HUKU.

So saaaaad

Ngoja niingie xvideo nikatoe mawazo kidogo. Nikirudi huku mwepesiiii…! Vipiiiiiiiiiiiiien Njoooo huku
 
Kwa hili naipongeza serikali chaputa inaenda kufa kibudu

Nitaacha siku nikipata mwanamke, [mention]Nuzulati [/mention] naomba unisaidie niache kuingia kwenye hiyo mi tovut. Tafadhali
 
wamefanya la maana mno, porns na mitandao ya ngono imeharibu na ilichangia kuharibu watoto, vijana na wazee.

Zilichangia mno kuleta na kuhamasisha mambo ya ufirauni na ushoga. Pia zinachangia kuleta mihemko ya ajab na ya kishetani kwa rika zote.

Tena wapige life ban watakuwa wamekomboa vizazi vyetu na mambo ya ngono zembe na mambo ya ajabu

Na nashauri mitandao yote inayotangaza biashara za umalaya, ukahaba na ushoga kama insta, telegram na pamoko ipigwe life ban na ifutwe yote haifai

Ibaki mitandao yenye maana kama twitter

PIA BAA ZOTE, KUMBI ZOTE NA VIWANJA VYOTE VINAVYOTUMIWA NA MALAYA NA MAKAHABA KWAAJILI YA BIASHARA ZA UKAHABA ZIFUNGWE NA ZIFUTWE KABISA POLICE WAMWAGWE MAENEO HAYO ILI KUDHIBITI MALAYA.

TANZANIA NI KISIWA CHA AMANI NA BARAKA. HATUTAKI HARAMU.
 

Nchi haiongozwi na misingi yenu ya kiimani. Hata kitimoto ni haramu kwa wengi na wengine ni tamu.

Distinction kati ya haramu na halalai inakwenda mbali zaidi lakini ni suala la kichwa tu kupima aidha kutokana na imani au jamii influence.

Serikali inafungia pornography wakati ikiendelea kuingiza condoms, kukusanya kodi kwenye mapombe, kukusanya mapato kwenye makumbi ya staehe, sigara na kadhalika ni UPUUZI wa kiwango cha PHD

Wazee wa kujichua walikuwa wanajimaliza wenyewe humo bila kuzini hovyo, sasa next wanaenda kuchapana real au kuliwa wao.

Inshort serikali hazinaga halali wala haamu kiimani bali i kisheria na kanuni tu. Mf. Mirungi Tanzania ni haramu na kenya ni halalali.

Tusiweke imani zetu tukitaka kujadili halalai na haramu ya Serikali, Vipi kuhusu Kamari ?. haziharibu vijana wetu?
 
Jinga kabisa yaan ruhusu mapicha ya sex yanayotuharibia watoto wetu et kisa mapato? Serious MTU mzima na Akil zako et Serikal iangalie upya iachie mambo ya kijinga haya yaendelee?
Mtoto wako kama ni boga boga tu hata bila hayo mapicha ya X ataharibika tu,pumbavu wewe
 
PIA BAA ZOTE, KUMBI ZOTE NA VIWANJA VYOTE VINAVYOTUMIWA NA MALAYA NA MAKAHABA KWAAJILI YA BIASHARA ZA UKAHABA ZIFUNGWE NA ZIFUTWE KABISA POLICE WAMWAGWE MAENEO HAYO ILI KUDHIBITI MALAYA.

TANZANIA NI KISIWA CHA AMANI NA BARAKA. HATUTAKI HARAMU.
Ukitaka ujue umuhim ya makahaba zuia hio biashara uone ndan ya mwezi kesi za ubakaji, mimba kwa wanafunzu, taraka, depression, uone vitakavyo ongezeka gafla
 
Vipi na ustawi wa watu wake. Tufanye ivi wanao uwanunue cd za porno za akina Mia Alfa Mana ni faragha za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…