Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Usidharau mkuu porn si nzuri hasa kisaikolojia ni ulevi mbaya sana unaowafanya watu wajifunze hata michezo michafu! Binafsi naona wapo sahihi kabisa.
Unapangia vipi watu mambo ya miili yao? Wapige marufuku na pombe na pombe kama kigezo ni kudhuru akili.
 
wafunge na telegram maana huku zipo za kutosha kwa dada zetu na kaka zetu. sikuwahi kujua bongo kumeharibika hivi watu wana record ngono wanauza telegram na sura waziachia kama ulaya hivi.
 
Kila mtu ana Uhuru wake, haulazimishwi kufungua .
 
Wewe Bata kafanye unavyotaka huo mwili wako usichoshe hadhira na mwili ni wako.
Nyie vijana mliozaliwa baada ya Soko huria kuanza mna matatizo sana. Mkishindwa kujibu jambo, mnaishia kutukana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…