Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Nachomaanisha mimi ni ile kuona napo Kuna athari kubwa sana ni kama unawapa ubao na wale wasioona kuona na kujifunza! Sasa hii inaendeleza au inaua..?
Mule Kuna video nyingi mtu anabeba tu Kuna kujifunza kujichua n.k

Mkuu kaa ukijua porn sio kitu kizuri kwa afya ya akili tutabishana bure tu hapa..
 
Mkuu angalia tu uwape na wanao na ndugu zako waangalie hazina kitu we angalia tu ikibidi bandika hata picha za utupu kwenye nyumba yako kila kona..

Lakini shika hili moja "hiyohiyo faragha yako ndio ama itajenga utu wako au kuuharibu".

NB; Mi sio mlokole.
 
Mpumbavu tu, unajiongelesha hapa usiku unaenda kupigana miti.
Sasa hivi tutakuwa tunae nda bar kuwamgalia live, kisha tunawafunua chupi tunawapiga miti, tunawapa mimba mnazaliwa walokole kama nyie.
 
Mpumbavu tu, unajiongelesha hapa usiku unaenda kupigana miti.
Sasa hivi tutakuwa tunae nda bar kuwamgalia live, kisha tunawafunua chupi tunawapiga miti, tunawapa mimba mnazaliwa walokole kama nyie.
😂 Sawa mkuu.
 
kakaangu mimi sizungumzii na wala siko hapa kuzungumzia dini.

Mimi siko hapa kuwakilisha ukirsto wala siko hapa kuueneza uislamu achilia mbali ubudha.

Niko hapa kukumbusha tu, Mungu yupo.. na miungu ipo... Tubu na urejee kwa Mungu wako achana na miungu kaka, acha kiburi, acha wizi, acha ulevi, acha unafiki, acha uchawi na ulozi, acha dharau kakaangu, Mungu haletewi kibesi chako kaka.. acha kabisa tena TUBU leo leo kakaangu kesho ni majaaliwa ya Muumbaji tu, mimi Namuomba Mungu akufanyie wepesi utubu kaka.

Duniani hapa palikua na miamba, duniani hapa palikua na wanaume, duniani hapa palikua na majabali, hapa duniani palikua na manguli, kuna watu walikuwa magwiji hapa duniani kaka lakini leo wako wapi?

Musa alikua mwanaume anaepiga story na Mungu moja kwa moja, sembuse mimi na wewe ambao hata shetani hawezi kukaa meza moja na sisi kwa sababu hatumfikii kwa uwezo wa kuutawala ulimwengu? Jinyenyekeze chini ya mkono wa MUNGU, tubu leo ndugu.

Mimi sio msafi, wewe sio mtakatifu... Sote tumetenda dhambi, ila mimi nakukumbusha tu (Kujisahau kupo) TUTUBU TUNGALI WAZIMA NA NGUVU ZETU HIZI TULIZO NAZO.

Mungu yupo hapo ulipo, yupo msikitini, yupo kwenye sinagogi yupo kila mahali.... NI JUKUMU LAKO KUMTAFUTA, NAYE ATAONEKANA KWAKO.

Narudia, acha kiburi TUBU.
 
Kabla ya kuuliza si ungejaribu kuangalia?
 
Mpumbavu tu, unajiongelesha hapa usiku unaenda kupigana miti.
Sasa hivi tutakuwa tunae nda bar kuwamgalia live, kisha tunawafunua chupi tunawapiga miti, tunawapa mimba mnazaliwa walokole kama nyie.
Je UKIFANYWA TASA/HANISI MUDA HUU UTAJISIKIAJE?

TUBU mrudie Mungu wako, Kama unataka OA ukae na cha halal ndani.

Acha zinaa tubu kakaangu
 


Cha ajabu utakuta huyu jamaa anaangalia porn vizuri tu. 😂😂😂😂
 
Mnatazama mara kwa mara hadi mnaona jambo la kawaida.

Mnazijadili kwa hoja na maneno ya kupingana lakini inafikia hatua mnataka kujaribu.
Mnajaribu hatimaye mnanogewa inakuwa kawaida kwenu na kisha kuanza kutafuta wafuasi ili kuficha hatia zenu kwa kigezo kwamba mbona wengi tu wanafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…